AG Werema alishastaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria

Tafuta taarifu mkuu usikurupuke. Hapa shughuli ndoo imeanza. Hivi unawajua wafanyakazi wangapi wa serikali ambao wapo above 60? Au unafikiri ni bahati mbaya?

Steven Wassira ana umri gani? mbona nyinyi ccm munaona aibu kuwajibika mnajikanyanyaga tu, Ulimwengu mzima unafahamu AG Warema ni mwizi, Muhongo ni ni Mwizi sasa kwanini ameandika barua ya kuiuzulu tena wakati huu ambapo ameiba fedha za umma? Muhongo naye akiachishwa kazi itakuwa ni umri pia alishaandika barua ya kustaafu? sham apon u
 
Sina uhusiano na CCM mkuu soma vizuri uzi wangu. Hoja yangu ni kuwa tunapigwa changa la macho.
 
Sina uhusiano na CCM mkuu soma vizuri uzi wangu. Hoja yangu ni kuwa tunapigwa changa la macho.

Hakuna changa mkuu Tanzania viongozi wanahistoria hupenda madaraka mpaka mwisho wa uhai hao umri si issue na ni nadra sana hasa kwa mtu kama Warema hali ni mbaya ameshikwa vibaya hakuwa na jinsi hasa ukizingatia alikuwa na bifu na Kafulila juu ya Escrow aliahidi Warema kuwa yeye atakuwa ni mshindi. Au umesahau alipomwita Tumbili? hali ilikuwa mbaya ndani ya ccm ilibiti tu aandike barua.
 
Hujanipata vizuri mkuu. Hoja yangu ni kuwa tusijedhani amestaafishwa kwa manufaa ya umma aka. kawajibishwa kumbe amestafu kwa mjibu wa sheria kishagonga 60

Yaani bonge la changa la macho!! Anazidi kuendeleza unafiki,na tusishangae siku moja akapewa nishani ya kiongozi bora aliyeachia madaraka mwenyewe.
Elli njoo huku ushangae
 
Last edited by a moderator:
pamoja na haya mazingaombwe bado kwa mwendo huu kuna kitu kitajulikana nacho ni mmiliki halisi wa PAP a.k.a IPTL ambaye Werema atakuwa anamjua pamoja na wengine!
Tutakujua tu tajiri bilionea kwa fedha cafu anayejifanya mnyonge!
 
Wanabodi ni ukweli usiopingika kwamba hakuna atakaewajibishwa kwenye sakata zima la escrow. Ni hivi jana tu tumeaminishwa kwamba eti aliekuwa Jaji Mkuu wa serikali, Bw. Frederick Werema kwamba amemuandikia Rais Kikwete barua ya kujiuzulu kutokana na kashfa ya Escrow na raisi ameridhia.

Wachunguzi wa mambo wameng'amua kwamba Jaji werema hakujiuzulu bali amestaafu akiwa na umri wa miaka 60 kama ulivyo utaratibu katika utumishi wa umma. Werema alizaliwa October 1955, na kufikia October mwaka huu tayari alishafikisha umri wa miaka 60.

Hii hapa chini ni CV yake ambayo pia ipo katika tovuti ya bunge.

MEMBER OF PARLIAMENT CV

First Name: Frederick
Middle Name: Mwita
Last Name: Werema
Member Type: Attorney General
Constituent: Ex-officio Member
Political Party: AG
Office Location: Dar Es Salaam
Office Phone: -
Ext.: -
Office Fax: -
Office E-mail: fwerema@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 10 October 1955

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
American University, Washington DC LLM 1992 1993 MASTERS DEGREE
University of Dar Es Salaam LLB 1981 1984 GRADUATE
United Nations System Staff College Human Rights Reporting Course 1994 1994 DIPLOMA
University of Sussex Mining Law Course 1996 1996 CERTIFICATE
Australia Police College Leadership Course 2007 2007 CERTIFICATE
Songea Boys High School A-Level Education 1976 1977 HIGH SCHOOL
Bwiru Boys Secondary School O-Level Education 1972 1975 SECONDARY
Wegero Primary School Primary Education 1964 1968 PRIMARY
Kiagata Middle School Primary Education 1969 1969 PRIMARY
Nyegina Middle School Primary Education 1969 1971 PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
Government of Tanzania Attorney General 2009
High Court of Tanzania Judge 2007 2009
Attorney General Advocate/Director 1984 2006
Shaaban Robert Secondary School Teacher 1979 1980

PUBLICATIONS
Description Date
Judge F. Werema: Financial Instruments (Trusts) for Environment, American University Law Journal. 1993
Judge F. Werema: Economic Partnership Agreement, Ruaha University College. Tanzania 2008

Kama ni kweli amejiuzulu mbona watuhumiwa wengine wapo kimya? Kwa mara nyingine tumechezewa cheusi chekundu.
 
Nafasi ya uteule na kustaafu. Kanuni za utumishi zinasemaje kwa nafasi hizo.....??? Mselewa......???? Mana najua umefika Hapo kwa kubebwa na profesa MBunda.
 
Hata haueleweki!
Mara Werema hakujiuzulu, mara oooh tumechezewa kekundu! NONSENSE!
 
Inatokea sana kaka na ni vitu vya kawaida sana but . .

Only in TZ.
Kushangaa mwisho Mara moja

Nchi yangu Tanzania imeshageuzwa nchi ya mazingaombwe. Lisilowezekana popote duniani linawezekana Tanzania.
 
This is a very good point na ni offside mwingine chamber ukiwa miongoni mwah basic data um wa kosher kerbs wa kustaafu ukifika hauwezi na hawakuulizi kea vile ni mfisadi mwenzao. Tuna menage sang ya kutatua taiga letu na tusidhani ufisadi ni EPA, RICHMOND, ESCROW na za aina hiyo tu, hata hii ndio hupelekea huu ufisadi tuuonao kutendeka katika scale hiyo.

ULIKUWA NA HARAKA GANI MBONA HUELEWEKI?
Anyway mleta mada hili linawezekana ukiwa mwizi na mshabiki wa majambazi ya CCM.Hujacikia Aliyejiuzulu anaitwa mstaafu?Mfano ni Edward Ole Ngoyayi Lowasa
 
Nafasi ya uteule na kustaafu. Kanuni za utumishi zinasemaje kwa nafasi hizo.....??? Mselewa......???? Mana najua umefika Hapo kwa kubebwa na profesa MBunda.

Mkuu mambeza,unakumbuka Jaji Mkuu na hata Mwanasheria Mkuu Mwanyika alistaafu? Halafu Mkuu,Profesa unayemtaja hakuwahi kuwa mwajiri. Yawezekana nimekuzidi ufaulu na elimu. Kubali matokeo Mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom