Jaffary
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 806
- 385
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na mbunge wa Hai mh. Mbowe kwa nyakati tofauti amesikaka akimsihi mh. Rais kuunda tume ya kimahakama kuchunguza vifo mbalimbali vyenye utata vilivyotokea ktk mikutano ya cdm
Lakini pamoja na jambo hili kuwepo kisheria AG amekuwa akisema hakuna ulazima wa kufanya hivyo
Cha kushangaza jana, japo ni jambo jema, AG moja ya mapendekezo na ushauri wa kisheria kwa serikali ilikuwa ni kuunda tume ya kimahakama kuchunguza yaliyotokea na hatua hastahiki ya kuchukua.
My concern here is that, kama wanaokufa kwenye mikutano ya vyama vya siasa ni watanzania na waliokufa kwenye operesheni vilevile ni watanzania, kwa nini kunakuwa na double standards?