AG aunga mkono hoja za wabunge Pinda na mawaziri wajiuzuru

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Kwa mara ya kwanza, AG ameunga mkono hatua kali zichukuliwe dhidi ya mawaziri n waziri mku kama ambavyo wabunge wamependekeza. Huyu bwana itakuwa historia, pengine anaweza kubadilisha kauli kijanja kama ambavyo mara nying huanza kwa kuunga mkono na baadaye kupamba na kulinda maslahi ya wakubwa, kwa kuleta kidhibiti mwendo hoja.

Ameikiri kamati ya bunge haiwez kutunga mambo kama hayo. Dhamira iwasute wale ambao wanaongoza wizara wakati haya yanatokea. Wapime kama wtashindwa rais afanye.

AG ameekemea kufanya vitu wa kudharau sheria, anasema viongozi hawashauriki, ameonya viongozi wachuje kauli zao.

Amemlipua Mrema A wakati akiwa Naibu PM, kuhusu unafiiki,

Amemaliza
 
Jamani jamani jamani wasomi wa Tanzania... ni KUJIUZULU na sio kujihudhulu
[h=2][/h]
 
zingine sasa kelele tu pinda anakosa gani hapo mpaka ajiuzulu.
 
Pinda hajui wajibu wake kama wazir mkuu na ndo maana anasema uwaziri mkuu ni mzigo. Bora naye awafuate wenzake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom