Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,408
- 31,392
Mkuu hapa unamaanisha 'Wazalendo' au 'Wazawa'?..AGs wazalendo ninaowakumbuka ni hawa:
..Mark Bomani.
..Joseph Warioba.
..Jaji.Damian Lubuva.
..Andrew Chenge.
..Johnson Mwanyika.
..Jaji.Frederick Werema.
..Jaji.George Masaju.
..Dr.Kilangi
Kama ni uzalendo naona orodha itakuwa fupi sana