AFYA ZAIDI CONSULTANTS sasa wanatoa elimu na ushauri wa afya na vipodozi popote utakapowaita

said rashid

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
203
112
COPY & PASTE KUTOKA WEBSITE YA AFYA ZAIDI CONSULTANTS : www.afyazaidi.org

UNGEPENDA TUJE KUWAPA ELIMU NA USHAURI WA AFYA, MAGONJWA, DAWA, VYAKULA, UREMBO NA VIPODOZI KAZINI, CHUONI AU KATIKA JAMII YENU?

Tunapenda sana kutoa elimu na ushauri wa afya na vipodozi katika jamii mbalimbali Tanzania. Tatizo kubwa ni kupanga na kuwafikia watu wengi kwa urahisi, ila kwa wafanyakazi, wanafunzi, wakazi na watu wa jamii yoyote wakitualika tukawape somo, elimu na ushauri wowote moja kwa moja katika eneo lao tunaweza kwenda bila tatizo lolote.

Tukaribishe popote ulipo Tanzania nasi tutakuja kuwapa elimu na ushauri juu ya Afya, Magonjwa, Vyakula, Dawa, Urembo Na Vipodozi.

MAENEO TULIYOWAHI KUTOA ELIMU NA USHAURI WA AFYA, MAGONJWA, DAWA, VYAKULA, UREMBO NA VIPODOZI MPAKA SASA

Mpaka sasa tumewahi kutoa huduma za elimu na ushauri bure kabisa kwa maeneo yafuatayo
IMG_20161031_135804.jpg

  1. Shule ya sekondari ya Benjamin William Mkapa iliyopo Kariakoo, Dar es salaam
  2. Chuo cha Datastar Training College kilichopo mtaa wa Shaurimoyo, Dar es salaam
  3. Chuo cha Eagle Wings Training College kilichopo Kariakoo, Dar es salaam
  4. Hospitali ya Buguruni iliyopo Buguruni kwa Mnyamani, Dar es salaam
  5. Chuo cha unesi cha Mchukwi kilichopo Kibiti, Mkoa wa Pwani
  6. Shule ya urembo iliyopo VETA ya Chang’ombe, Dar es salaam
  7. Kituo cha mafunzo cha Shear Illusion kilichopo Makumbusho, Dar es salaam
  8. Siku ya maadhimisho ya Saratani duniani katika tamasha lililofanyika viwanja vya Don Bosco vilivyopo Upanga, Dar es salaam
  9. Chuo cha Time School of Journalism kilichopo Ilala, Dar es salaam Tunapenda kuwafikia watu wengi zaidi na maeneo mengi zaidi Tanzania nzima. Hii ni kwa mikoa yote Tanzania, Dar es salaam na mbali na Dar es salaam

Sio lazima kiwe chuo au shule, hata Saccos, Vicoba, Mkutano, Semina, Tamasha na kadhalika

Unaweza kuwasiliana nasi na tukapanga vizuri kupitia simu namba 0659528724 au 0784082847 na barua pepe kupitia anuani yetu ya info@afyazaidi.org.

Huduma hii ni kwa watu wowote na popote walipo Tanzania. Cha msingi wawe katika kikundi cha watu 10 na kuendelea.

TUMA MESEJI FUPI TU AU BARUA PEPE MAANA SIMU HUWA NYINGI NA TUNASHINDWA KUPOKEA ZOTE

Nyote mnakaribishwa…….

Kwa elimu na ushauri zaidi wa afya, magonjwa, vyakula, dawa, urembo na vipodozi tafadhali tembelea website ya www.afyazaidi.org
 
Back
Top Bottom