POMPO
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 6,690
- 2,400
Mkku, nadhani Sumbawanga soon litatangazwa coz its within 90days toka hukumu ilipotoka, speaker anaandikia NEC barua kuwa jimbo lipo wazi then, Msajili wa vyama kwa taarifa, ndio tunaingia kwa uchaguzi so haitozidi January 2013! Igunga magamba haijafahamika kama walikata rufaa ama la... Spika anatakiwa Kuijulisha NEC... si unajua nae alivyo dhaifu? mpaka magamba waamue..Hivi wadau haya majimbo ambayo yapo wazi kwa sasa mbona sisikii tume ikitangaza chaguzi ndogo? Jingine 'Likitokea' Jeee!
All in all HAKI haipotei daima, bali hucheleweshwa...Tutashinda.