Afya ya mwanangu inateteleka kisa mke wangu maziwa yanatoka kwa shida!

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Jaman naomben msaada! mwanangu ana wiki mbili ananyonya kwa shida kisa mke wangu mziwa hayatoki inavyotakiwa! ni nini sababu? na tufanyaje ili kutibu tatizo?
 
Tafuta maziwa S26 au zaidi special kwa watoto wanaokosa maziwa kwasababu tofauti kutoka mama zao

Yapo kwa umri tofauti
 
Jaman naomben msaada! mwanangu ana wiki mbili ananyonya kwa shida kisa mke wangu mziwa hayatoki inavyotakiwa! ni nini sababu? na tufanyaje ili kutibu tatizo?
pole sana ndugu yangu,kama huo ndyo uzao wa kwanza kwa mkeo hebu fanya taratibu za makusudi na haraka kwenda hospital mkapate ushauri na ukweli wa hili swala,binafsi ilitokea hali kama hiyo kwa mke wangu tulipopata mtoto wa kwanza,madai yake mama wa mwanangu ilikuwa maziwa hayatoki kama ipasavyo,kumbe mke wangu alihofia akinyonyesha maziwa (matiti yake) yatalala,mtoto alizoofu sana huku akikomaa tutafute chuchu za kununua mtoto achemshiwe maziwa ya kununua,aisee nilidata sana,yaani naijua hali unayopitia uncle
 
Pia Kama Kuna ndugu yako anayenyonyesha unaweza kufaulisha dogo anyonye wakati mambo mengine yanaendelea
 
Wahi haraka nunua foruma... s26, lactogen, infacare, SMA, cow and get, au yoyote yale.. ya 0 to 6 months...mtoto atakua vizuri na mwenye afya njema.... nakumbuka mwanangu pia nilipata hiyo changamoto.. nikawahi S26.. akakua vyema tu.. japo sio vizuri sana kumlisha mtoto forumula, lakini sometimes inabidi kwakua unakuta mama hana maziwa kabisa kwa sababu za kimazingira ya sasa, vyakula... hormones... na mengineyo. Yanasababisha wamama wasipate maziwa ya kutosha.
 
pole sana ndugu yangu,kama huo ndyo uzao wa kwanza kwa mkeo hebu fanya taratibu za makusudi na haraka kwenda hospital mkapate ushauri na ukweli wa hili swala,binafsi ilitokea hali kama hiyo kwa mke wangu tulipopata mtoto wa kwanza,madai yake mama wa mwanangu ilikuwa maziwa hayatoki kama ipasavyo,kumbe mke wangu alihofia akinyonyesha maziwa (matiti yake) yatalala,mtoto alizoofu sana huku akikomaa tutafute chuchu za kununua mtoto achemshiwe maziwa ya kununua,aisee nilidata sana,yaani naijua hali unayopitia uncle
Ni kweli masister du wengi wanatengeneza hofu inayofanya hormones zisitume ujumbe wa kutengeneza maziwa eti nyonyo zisiwe malapa.
Wapewe elimu kwamba wakiachisha na kula vizuri yanajaa Kama kawa lakini sio kiwango saa sita.
 
Chanzo ni Lishe ya Mama na stress kutokana na tabia za mwanaume baada ya mke kujifungua: Dawa asilia na salama kwa mama. Nunua mbegu za maboga, zikaange na kuzisaga kisha tia kwenye uji wa mama. Maziwa yatatiririka kama maporomoko ya Stigglers gorge. Mama pia ale vizuri alaf muondolee stress kwa kuwahi kurudi nyumbani, usimkalipie hata akikosea potezea au mwambie kwa upole. Simu kwako zisiingie bila mpango. Kwa Dar kg sh 3000( elf tatu). Kwa mwanza elf 15. Uji anywe japo Mara tatu kwa siku.
 
Sio kila mwanamke anafaa kuwa na mama na sio kila mwanamke aafaa kuwa mke...how comes umtese mtoto kisa maziwa yasilale...ili kumfurahisha nani? Yaani mimi wanangu wote wanne wamenyonya miaka miwili net, tena huyu wa mwisho ntamnuonyesh adi afike miaka mitano yani adi akatae mwenyewe aseme basi...am not ashamed kwamba maziw yangu yamelala, all i care about is my kids...
Ni kweli masister du wengi wanatengeneza hofu inayofanya hormones zisitume ujumbe wa kutengeneza maziwa eti nyonyo zisiwe malapa.
Wapewe elimu kwamba wakiachisha na kula vizuri yanajaa Kama kawa lakini sio kiwango saa sita.
 
pole sana ndugu yangu,kama huo ndyo uzao wa kwanza kwa mkeo hebu fanya taratibu za makusudi na haraka kwenda hospital mkapate ushauri na ukweli wa hili swala,binafsi ilitokea hali kama hiyo kwa mke wangu tulipopata mtoto wa kwanza,madai yake mama wa mwanangu ilikuwa maziwa hayatoki kama ipasavyo,kumbe mke wangu alihofia akinyonyesha maziwa (matiti yake) yatalala,mtoto alizoofu sana huku akikomaa tutafute chuchu za kununua mtoto achemshiwe maziwa ya kununua,aisee nilidata sana,yaani naijua hali unayopitia uncle
nashukuru mkuu!
 
Sio kila mwanamke anafaa kuwa na mama na sio kila mwanamke aafaa kuwa mke...how comes umtese mtoto kisa maziwa yasilale...ili kumfurahisha nani? Yaani mimi wanangu wote wanne wamenyonya miaka miwili net, tena huyu wa mwisho ntamnuonyesh adi afike miaka mitano yani adi akatae mwenyewe aseme basi...am not ashamed kwamba maziw yangu yamelala, all i care about is my kids...
Majina mazuri yanaumba, kweli shemeji alikupata kwa bahati ya MTENDE, we ni wife material. Waelimishe wenzio basi wanaume wengine wafaidi huo MTENDE.
 
Wahi haraka nunua foruma... s26, lactogen, infacare, SMA, cow and get, au yoyote yale.. ya 0 to 6 months...mtoto atakua vizuri na mwenye afya njema.... nakumbuka mwanangu pia nilipata hiyo changamoto.. nikawahi S26.. akakua vyema tu.. japo sio vizuri sana kumlisha mtoto forumula, lakini sometimes inabidi kwakua unakuta mama hana maziwa kabisa kwa sababu za kimazingira ya sasa, vyakula... hormones... na mengineyo. Yanasababisha wamama wasipate maziwa ya kutosha.
asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom