bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 757
- 1,020
Jaman naomben msaada! mwanangu ana wiki mbili ananyonya kwa shida kisa mke wangu mziwa hayatoki inavyotakiwa! ni nini sababu? na tufanyaje ili kutibu tatizo?
pole sana ndugu yangu,kama huo ndyo uzao wa kwanza kwa mkeo hebu fanya taratibu za makusudi na haraka kwenda hospital mkapate ushauri na ukweli wa hili swala,binafsi ilitokea hali kama hiyo kwa mke wangu tulipopata mtoto wa kwanza,madai yake mama wa mwanangu ilikuwa maziwa hayatoki kama ipasavyo,kumbe mke wangu alihofia akinyonyesha maziwa (matiti yake) yatalala,mtoto alizoofu sana huku akikomaa tutafute chuchu za kununua mtoto achemshiwe maziwa ya kununua,aisee nilidata sana,yaani naijua hali unayopitia uncleJaman naomben msaada! mwanangu ana wiki mbili ananyonya kwa shida kisa mke wangu mziwa hayatoki inavyotakiwa! ni nini sababu? na tufanyaje ili kutibu tatizo?
Ni kweli masister du wengi wanatengeneza hofu inayofanya hormones zisitume ujumbe wa kutengeneza maziwa eti nyonyo zisiwe malapa.pole sana ndugu yangu,kama huo ndyo uzao wa kwanza kwa mkeo hebu fanya taratibu za makusudi na haraka kwenda hospital mkapate ushauri na ukweli wa hili swala,binafsi ilitokea hali kama hiyo kwa mke wangu tulipopata mtoto wa kwanza,madai yake mama wa mwanangu ilikuwa maziwa hayatoki kama ipasavyo,kumbe mke wangu alihofia akinyonyesha maziwa (matiti yake) yatalala,mtoto alizoofu sana huku akikomaa tutafute chuchu za kununua mtoto achemshiwe maziwa ya kununua,aisee nilidata sana,yaani naijua hali unayopitia uncle
anapata mkuu!Vipi kuhusu lishe kwa mkeo he anapata lishe ya kumsaidia kutoa maziwa
Ni kweli masister du wengi wanatengeneza hofu inayofanya hormones zisitume ujumbe wa kutengeneza maziwa eti nyonyo zisiwe malapa.
Wapewe elimu kwamba wakiachisha na kula vizuri yanajaa Kama kawa lakini sio kiwango saa sita.
Ahsante mkuu!Tafuta maziwa S26 au zaidi special kwa watoto wanaokosa maziwa kwasababu tofauti kutoka mama zao
Yapo kwa umri tofauti
anapata mkuu!Vipi kuhusu lishe kwa mkeo he anapata lishe ya kumsaidia kutoa maziwa
ahsante mama!Mpe uji wa pilipili manga hakika yatatoka,.
Nb:tatizo likizidi mpeleke hospital,.
nashukuru mkuu!pole sana ndugu yangu,kama huo ndyo uzao wa kwanza kwa mkeo hebu fanya taratibu za makusudi na haraka kwenda hospital mkapate ushauri na ukweli wa hili swala,binafsi ilitokea hali kama hiyo kwa mke wangu tulipopata mtoto wa kwanza,madai yake mama wa mwanangu ilikuwa maziwa hayatoki kama ipasavyo,kumbe mke wangu alihofia akinyonyesha maziwa (matiti yake) yatalala,mtoto alizoofu sana huku akikomaa tutafute chuchu za kununua mtoto achemshiwe maziwa ya kununua,aisee nilidata sana,yaani naijua hali unayopitia uncle
Majina mazuri yanaumba, kweli shemeji alikupata kwa bahati ya MTENDE, we ni wife material. Waelimishe wenzio basi wanaume wengine wafaidi huo MTENDE.Sio kila mwanamke anafaa kuwa na mama na sio kila mwanamke aafaa kuwa mke...how comes umtese mtoto kisa maziwa yasilale...ili kumfurahisha nani? Yaani mimi wanangu wote wanne wamenyonya miaka miwili net, tena huyu wa mwisho ntamnuonyesh adi afike miaka mitano yani adi akatae mwenyewe aseme basi...am not ashamed kwamba maziw yangu yamelala, all i care about is my kids...
asante kwa ushauriWahi haraka nunua foruma... s26, lactogen, infacare, SMA, cow and get, au yoyote yale.. ya 0 to 6 months...mtoto atakua vizuri na mwenye afya njema.... nakumbuka mwanangu pia nilipata hiyo changamoto.. nikawahi S26.. akakua vyema tu.. japo sio vizuri sana kumlisha mtoto forumula, lakini sometimes inabidi kwakua unakuta mama hana maziwa kabisa kwa sababu za kimazingira ya sasa, vyakula... hormones... na mengineyo. Yanasababisha wamama wasipate maziwa ya kutosha.