Afya ya Mtanzania Iko Mikononi mwa Nani?

kamtupeni

Member
Apr 18, 2020
7
2
Habari ndugu wanajukwa hili.
Nitangulie kwa kusema kuwa afya ya kila mmoja wetu ndiyo kipaumbele katika wakati wote tukiwa hai.
Sasa Afya hiyo kwa Mtanzania Iko Mikononi mwa nani?
Je wataalamu wa Afya?
Je wanasiasa?
Je Viongozi wa dini?
Je ni watu wa mtaani?
Au Mtu mwenyewe?
Tuliona changamoto kubwa wakati wa mlipuko wa korona ambapo wanasiasa walikuwa wasemaji wa kuu kuliko wafanyakazi sekta ya afya.Nini mazara yake ;1.Watu wengi walipoteza maisha kwa kukosa Muongozo wa Matibabu
2.Ilipunguza Imani juu ya huduma ya afya nchini.
3.Tulipoteza pesa nyingi kwa kufanya vitu visivyo na mafanikio ikiwemo kununua mashine za kujivukiza, kwenda Madagaska kufuata kinywaji cha kutibu korona....
Itaendelea
 
Back
Top Bottom