Afya ya kikwete yamkosesha mwakyusa uwaziri

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
Maneno ya mwakyusa kuwa ataifuatiliya afya ya raisi imemkost,raisi hataki mtu kufuatilia hali yake ya afya eti;;;
 
Aaaaaaaaaaaaah wapi mzee Mwakyusa amechoka tuu inabidi apumzike tuu
 
Hey......kwani fya ya rais nayo siri mbona kila mtz anajua kuwa yu mgonjwa sana na anapaswa kujiuzuru kwa mujibu wa katiba.,.,........
 
Kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia ila kwa sababu nchi yetu inaishi kwa kufichiana aibu hasa watu wanaodhani kuna maslahi yao yanaguswa basi hakuna wa kufungua kinywa.
Tuseme kwamba Mwakyusa alikuwa amekwama kufanikisha matarajio fulani ndo maana hakuwekwa barazani
 
Is it malaria project? Coz aliyepewa hiyo wizara ni zao la mradi wa Malaria na alitamba jimboni kwamba kwake kazi ngumu ni ubunge ila alikuwa ana uhakika wa uwaziri wa afya na imetimia. Na ndio maana alipata ushindi wa kumchakachua mzee wake Prof.melchiory mlambiti
 
lakini mwakyusa alikuwa bado hajachoka kiivyo alistaili kuwa waziri wa afya,coz kuwa na mengi yaliyojificha nyuma ya pazia ndoamaana unaona kimyakimya wanauwa mmoja baada ya mmoja(hasa ndo kilichomkost jirani kupata uwaziri baada ya kauli yake hiyo)
 
Back
Top Bottom