SoC01 Afya-Rafiki yetu anaweza kuwa adui yetu mkubwa

Stories of Change - 2021 Competition

ManoWise

Member
Jun 21, 2019
6
10
Karibu katika andiko hili la afya lenye kuelezea jinsi rafiki wa afya zetu anaweza kuwa adui mkubwa wa afya zetu.

Je, ulishawahi kusikia juu ya usugu wa vimelea dhidi ya dawa ? Kama ulishawahi kusikia ama hujawahi ungana nami tujifunze zaidi.

Usugu wa vimelea dhidi ya dawa ni Hali ya dawa kutoweza kuua au kuzuia ukuaji wa vimelea vya magonjwa, usugu huu unasababishwa na vimelea kufanya mchakato ama kupata mbinu za kuepuka na kutoweza kuathiriwa na dawa zinazotumika,
Vimelea hasa bakteria hupata usugu dhidi ya dawa kwa ujumla ziitwazo antibiotiki ambazo ndizo hutumika kutibu magonjwa yasababishwayo na bacteria

Je, kwanini vimelea hivi vinaanza kuwa sugu dhidi ya dawa ?
Vimelea hivi huwa sugu dhidi ya dawa kutokana na kwamba vimepata mbinu ya kuepuka dawa zisiviue ama kuvizuia kukua, mbinu hizo za vimelea hutokea baada ya sisi kutumia dawa ndivyo sivyo.
Hivyo dawa(antibiotiki) zina faida kwetu na rafiki wa afya zetu lakini tutumiapo vibaya husababisha usugu wa vimelea dhidi ya dawa hivyo kuwa adui wa afya zetu

Je, ni matumizi gani ya dawa au vitu gani ukifanya vimelea vinaweza kupata usugu dhidi ya dawa ?
1.Matumizi ya dawa(antibiotiki) kwa muda mrefu.
2.Kutumia dawa bila kupata majibu ya vipimo vya maabara.
3.Kuacha au kukatiza dozi mara baada ya kupata nafuu au la.
4.Kutumia dawa za bacteria (antibiotiki) kutibu magonjwa yasiyohitaji antibiotiki kama magonjwa ya virusi.
5.Kutofuata dozi sahihi na muda sahihi wa matumizi ya dawa husika.
6.Utunzaji mbovu wa dawa mfano kutupa dawa kwenye vyanzo vya maji.
7.Kutumia dawa zilizokwisha muda wake wa matumizi
Hapo juu nimekuandikia njia Saba ambazo huweza kupelekea usugu wa vimelea dhidi ya dawa na pia ningependa ujue ni madhara gani mtu anaweza kupata baada ya kupata usugu wa vimelea dhidi ya dawa.
Madhara ya usugu wa vimelea dhidi ya dawa ni Pamoja na;
I) Kuongezeka kwa makali ya ugonjwa.
II) Kuongezeka kwa gharama na muda wa matibabu.
III) Ugumu na shida wakati wa upasuaji.
IV) Gharama na madhara zaidi ya dawa kutokana na matumizi ya dawa za aina tofauti na mwisho huweza kupelekea kifo.

Je, ufanye nini ili kuepukana na usugu wa vimelea dhidi ya dawa ?

Hii ni sehemu nzuri Sana kujua kwani ndiyo sehemu pekee ya kufanya dawa ziwe rafiki wa afya zetu na si adui wa afya zetu hivyo ni muhimu kufanya mambo haya matatu hata kabla hujaanza matibabu yoyote.
Mosi, usianze matibabu yoyote bila kushauriwa na mtoa huduma wa afya hivyo usinunue Wala kutumia dawa kiholela
Mbili, Usikatize matumizi ya dozi ya dawa hata kama umepata nafuu.
TAtu, Usitumie dawa zilizobakishwa na mgonjwa mwingine Wala usitumie cheti Cha mgonjwa mwingine.
Nne, tukumbuke kutunza dawa zetu vizuri ikiwemo kuweka mbali na watoto na kutotupa dawa karibu na vyanzo vya maji
Mwisho watoa huduma wanatakiwa kuzingatia utoaji sahihi wa dawa na kutotoa mlundikano mkubwa wa dawa bila sababu muhimu kwani kunaweza kupelekea mwingiliano wa dawa na usugu wa vimelea dhidi ya dawa.

Hakika tukifuata haya dawa zitakuwa rafiki wa afya zetu na si adui tena na mwisho kupelekea jamii yenye afya njema na tabasamu.

Asanteni Sana
Gidion Andrew
0783552882
 
Inafundisha kwa kweli, Asante
 
Mr.Gidion Andrew Mwakalesi A.K.A zee la Code au zee la masymposium hii ni mada nzuri sana hongera
Asante Mr. Cramers kwa kusapoti maada hii🙏🙏
Matumizi holela ya dawa kipindi hiki ni mengi jambo ambalo linahatarisha afya zetu📌
 
Gidion Andre

hongera kaka kwa kazi nzuri, kweli unazijali afya zetu🤝🤝🤝

hongera kaka, Mungu akuongezee uzidi kutujuza
 
Back
Top Bottom