Afya Njema; Mafanikio Na Utajiri - Maswali Na Majibu Kwa Kila Mtu


Sanctus Mtsimbe

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined
Jul 14, 2008
Messages
1,848
Likes
212
Points
160
Sanctus Mtsimbe

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined Jul 14, 2008
1,848 212 160
Je ungependa kupata mawazo chaya juu ya mambo mbalimbali yanayohusu mafanikio katika maisha, biashara, afya kama kupata nafuu au kupona katika matatizo yako mbalimbali ya afya yako ya mwili na akili, n.k? Unaweza kutembelea: www.mtsimbe.blogspot.com au kutuandikia mtsimbe@gmail.com ni tatizo gani au topic ungependa tuiongelee na tutajitahidi kupata information kutoka sehemu mbalimbali.

Sasa hivi kuna information zinazohusu namna rahisi unavyoweza kutatua matatizo yako ya kiafya na akili kwa njia rahisi ukitumia vyakula na viungo ulivyonavyo nyumbani.
Information zilizopo sasa hivi zinahusu matatizo ya:

1. Aches & Pains;
2. Beauty & Wellness
3. Diabetes
4. Digestive Disorders
5. Ear, Nose & Throat
6. Eyes
7. Hair
8. Heart
9. Infections & Allergies
10. Kidneys
11. Liver
12. Lungs
13. Mental & Neuro
14. Oral Health
15. Sexual Disorders
16. Skin
17. Sleep Disorders
18. Urinary Problems
19. Women's Health

Information hizi zinazingatia njia za nyumbani na za asili ambazo unaweza kuzitumia.

Tahadhari: Tafadhali sana wasiliana na Daktari wako kama una wasiwasi na vyakula vilivyoelezewa ili kujihakikishia kuwa hutapata madhara yoyote.

Katika blog ya: www.mtsimbe.blogspot.com sasa hivi kuna information zifuatazo:

1. Je Jogoo Wako Hapandi Mtungi?
2. Je, Unapoteza Kumbukumbu?.
3. Je, Ungependa Kuondoa Michirizi Katika Ngozi?
4. Jinsi Ya Kufanya Meno Yawe Meupe
5. Jinsi Ya Kuondoa Makunyanzi Ya Ngozi
6. Jinsi Ya Kufanya Matiti Yasimame (Yasilale)
7. Jinsi Ya Kuondoa Nywele Usoni
8. Je, Ungependa Kuwa Na Matiti Makubwa?
9. Je Macho Yako Hayaoni Vizuri?
10. Je, Una High Blood Pressure?
11. Je Una Allergies Na Kitu Chochote?
12. Jinsi Ya Kuondoa Vipele Vya Kunyoa Ndevu
13. Jinsi Ya Kuondoa Chunusi Usoni
14. Je Wewe Unakoroma Usiku Na Ungependa Uache?
15. DVD: Jinsi Ya Kupunguza Unene Na Kitambi
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,810
Likes
23,239
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,810 23,239 280
lara 1 mkurabita huuu...........
 
Last edited by a moderator:
Sanctus Mtsimbe

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined
Jul 14, 2008
Messages
1,848
Likes
212
Points
160
Sanctus Mtsimbe

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined Jul 14, 2008
1,848 212 160
Last edited by a moderator:
Brightman Jr

Brightman Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2009
Messages
1,234
Likes
9
Points
135
Brightman Jr

Brightman Jr

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2009
1,234 9 135
Mbona mnakimbilia kwenye mail zetu! Vp?
 

Forum statistics

Threads 1,275,062
Members 490,894
Posts 30,531,839