Afya: NHIF kuondoa dawa nyingi kwenye Bima ya Afya, dawa muhimu kwa jamii ya kitanzania. Kulikoni?

Fya-fyafya

Member
May 2, 2019
43
125
Bima ya Afya ni mfumo wa kumwahidi kumrejeshea mwanachama hali ya Afya bira malipo pindi anapopata shida ya kiafya kwa kuuugua au kulazwa hospitalini hasa pale tu anapokuwa amelipia michango ya marejesho (premiums) kila mwezi au kwa mwaka....
 
Last edited:
Na Dopamine zimekuwa dawa za sukari siku hizi!!
Hata hivyo kitu NHIF wanafanya kina faida kwao na katika kudhibiti udanganyifu wa matibabu, lakini ndio vile tena kuwa watu wengi tutapata shida kwa kukosa huduma stahiki.

Binafsi kwenye upande wa dawa sina shida nao, tatizo ni kwenye vipimo, nilitegemea wanavyopunguza dawa basi wataongeza vipimo vinavyolipwa kwa bina lakini imekuwa kinyume chake, ndio kwanza mpaka vipimo muhimu tunavikosa.

Madaktari wasio waaminifu wamechangia sana hili, kukimbilia kuandika dawa ambazo sio chaguo la kwanza ili tu mgonjwa azikose na mwisho wa siku wamuuzie na wakati huohuo fomu ya bima imejazwa na watadai walipwe.

Mtu kagundulika na presha ya kupanda na hana tatizo jingine la ziada, badala mtu apewe dawa ambazo zinapatikana kirahisi anaandikiwa dawa ambazo anajua kabisa hapo hospitali hatazipata wala kwenye pharmacy zinazopokea fomu ya bima, mwisho wa siku mgonjwa anarudi kwa daktari kusema dawa fulani ameikosa, anaambiwa nenda kanunue sehemu fulani (kwenye duka la dokta) au dokta anakuwa nayo hapohapo.

Pia matumizi ya dawa zisizo na ulazima, kama multivitamins yameifilisi sana NHIF.

Yote kwa yote NHIF bado ni janga. Wanabania sana huduma kwa wateja wao. Wanatakiwa kuwa wanapokea maoni toka kila kituo na kwa wateja wao ili kufanya maboresho.

Fya-fyafya
 
Dawa Hizi, zinazoonekana kuleta nafuu na kutatua matatizo yao ya kiafya kwa baadhi ya wagonjwa. Kwa mfano ya Presha na Sukari hushusha fasta au hupandisha fasta Presha na kisukari. Yaani hureta good regulation ya magonjwa hayo.

Kwahiyo kila tatizo limetengenezewa fursa ya kuchuna na kukamua zaidi badala ya kutengeneza urafiki na mteja
 
Bima ya Afya ni mfumo wa kumwahidi kumrejeshea mwanachama hali ya Afya bira malipo pindi anapopata shida ya kiafya kwa kuuugua au kulazwa hospitalini hasa pale tu anapokuwa amelipia michango ya marejesho (premiums) kila mwezi au kwa mwaka.

Huko nyuma hasa miaka ya kuanzia 2010 kurudi nyuma; watu wengi walikuwa hawana elimu ya umuhimu wa Bima ya Afya.

Hospitali nyingi zilikuwa hazipokei wala kutaka kusikia matibabu kwa Bima ya Afya isipokuwa Hospitali za Serikali na baadhi za watu binafsi.

Pia mgonjwa mwenye Bima ya Afya alikuwa hapati huduma ya kurudhisha na ilikuwa si ya haraka kwani alikuwa akithaminiwa mgonjwa mwenye Cash! Na isitoshe pia dawa nyingi zilikuwa hazijawekwa Kwenye Bima.

Hali hii iliwafanya watanzania kuidharau Bima na kutoona umuhimu wa kuwa nayo au kuwakatia wategemezi kutokana na kunyanyapaliwa kipindi hicho kwani mwenye Bima alionekana Kama Masikini fulani!

Kwa kipindi kirefu sasa toka miaka hiyo; Bima ya Afya ilikuwa imejizolea umaarufu sana na kupendwa na wananchi kwani mgonjwa mwenye Bima ya Afya alikuwa akijisikia Fahari ya kuwa na Bima kwani hudumu zilikuwa Bomba tena sana mpaka katika kipindi cha hapo katikati huduma zilikuwa Kama zote!

Dawa Kama zote zilikuwa zimewekwa Kwenye Bima. Pia kupitia tangazo la Serikali na mkazo wa Dada yetu Ummy Mwalimu la kuhamasisha watu kuwa na Bima za Afya; wananchi wengi walielimishwa na kuona umuhimu wa kuwa nayo. Wengi waliwakatia familia zao; wazizi wao na ndugu na jamaa.

Hapo katikati Bima ya Afya ilikuwa Kama simu ya Smart phone kwamba kila mtu lazima awe nayo kutokana na faida zake zilizokuwa nzuri na za kuaminika kwa Hospitali yoyote kokote Happ nchini.

Bima za Afya Kama NHIF; STRATEGIS, AAR, NSSF na ICF nk zimekuwa kimbilio kwa wananchi na kuwa mkombozi wao kwa huduma za matibabu. Hudumu ni nzuri tena ya kwaminika.

Baadhi ya hospitali za Serikali na binafsi wamefanikiwa kutenganisha kabisa Vitengo vya matibabu; yaani kitengo cha wagonjwa wenye Bima za Afya na Kitengo cha wagonjwa wenye Cash. Na hii imekuwa msaada sana kwa matibabu. Hongera sana!

Kipindi hiki; wewe ni mtanzania gani ambae huna Bima ya Afya? Kila mtu atakushangaa na kukuonea huruma endapo umepatwa na tatizo la Afya au mtoto waki ama ndugu yako ameugua na huku ukiwa huna Bima ya Afya huku mfukoni huna hata Mia! Happy ndo utauona rangi zote!

Ukienda ma Hospitalini upande wa kitengo cha Bima ya Afya, utakutana na nyomi ya wagonjwa wakipatiwa huduma. Na huduma ni ya uhakika, Bora na ya kwaminika.

Baada ya utangulizi huo,sasa niende Kwenye maada husika isemayo: " NHIF Kuondoa Dawa Kwenye Bima ya Afya, Dawa muhimu kwa Jamii ya Kitanzania, Kulikoni!"

Ni kweli kuanzia mwezi ulopia Kama si mwezi wa nane, orodha ya dawa nyingi tu za magonjwa sugu Kama Pressure na Kisukari yameondolewa kwenye Bima.

Dawa hizo ni zile nzuri na Bora zaidi kweli kwa wagonjwa . Hakika Hizi dawa zilikuwa kimbilio la wengi kutokana na ubora wake au ufanisi wake kimatibabu.

Dawa Hizi, zinazoonekana kuleta nafuu na kutatua matatizo yao ya kiafya kwa baadhi ya wagonjwa. Kwa mfano ya Presha na Sukari hushusha fasta au hupandisha fasta Presha na kisukari. Yaani hureta good regulation ya magonjwa hayo.

Wahenga walisema kizuri kina gharama; ni kweli dawa hizo ni za bei sana tena sana , yaani ni aghali! kwani huuzwa kwa Bei ya juu sana. Zilipokuwa Kwenye Bima ya Afya ziliifanya Bima hiyo kuwa na Tija.

Kwa mfano dawa za Presha huuzwa Kati ya tsh 36000 Hadi tsh 45000 nk katika maduka ya pharmacy.

Kwa maana hiyo mtanzania wa kawaida hawezi kulipia cash kiasi hicho kwa kila mwezi maisha yake yote ya uhai wake kama si msaada wa bima tu.

Kama wewe una Presha au Kisukari ama una ndugu; jirani au jamaa ana magonjwa hayo na ulikuwa unatumia kati ya Hizi dawa Sasa hutozipata tena bure kwa Bima, Sasa utakuwa unalipa Cash.

Dawa zenyewe ni Hizi Hapo.

A. Dawa za Presha.
Dawa za Presha zilizoondolewa Kwenye Bima ni:

1. Bisoprolol Fumarate 5mg
2. Bisoprolol Fumarate 10mg
3. Termisatan 40 mg
4. Termisatan 80 mg
5. Termisatan 120 mg
6. Concor 5 mg
7. Concor 10 mg
8. Benicar 5mg, 10mg
9. Hydrochlorothiazide
10. Benicar
11. Lopressor

NB: Dawa zilizobaki Kwenye Bima ni Kama
- Lasix
- Losatan
- Amlodipine
- Alsatan
- Antax

B. Dawa za Sukari
Dawa za Kisukari zilizoondolewa Kwenye Bima ni:

1. Dipeptidyl peptidase
2. Amylinomimetic
3. Dopamine

My Take:!
Dah afadhal asripin hawajaitoa
 
Dawa ya 1 na 2 ni sawa na 6 na 7...Vile vile hapo ongeza Telmisartan + Hydrochlorothiazide (80/12.5) dawa nzuri sana kwa presha nayo imetolewa ... Dawa pia za matatizo ya mifupa kama Joint Support, Omeflex, Nat B nazo pia zimetupitiwa mbali bila kusahau ile dawa pendwa ya kuchua Ketoptofen gel (fustum gel) nayo pia haipo tena...
Nashauri NHIF wapitie package yao upya
 
My Take:👩‍👩‍👧‍👦😂😂😂!
NHIF ni matapeli hakuna mfano wake, sii chombo cha afya ni mtambo wa kuibia wananchi pesa, ukijiandikisha leo, lipa pesa na hutibiwi miezi mitatu, pesa yako wanatumia, ukifa pesa immeedna, leo wanatoa dawa, kesho wataanza kuwaua, nimehamia AAR, very proffesional
 
Tatizo ni Magu.
Huyu akiondoka Watanzania wataendelea kuwa na ahueni
Ila huyu sio aria ndio maana ana Tigo mbaya sana
 
Hahaha ndio maboresho hayo, awamu ya tano. Sasa tusubiri ya awamu ya sita, NHIF italipia panadol tu.
 
Huu ni mpango wa mabeberu kudhoofisha afya za Wanyonge, Magu atatoa tamko very soon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Galvus Met ya Kisukari poa wameondoa.
 
Nhif bhana sijajua wanakwama wapi
Mi nipo SINGIDA mwezi wa NNE huu sijapewa bima ya Afya ya mwanangu
Utapeli uliopo hapo complex yao mpya sio wa nchi hii
Ila kuna siku nitaenda kizazi hapo ndio tutamaliza kila kitu
Ujanja ujanja mwingi mara oooh mara oooh
Wanaboa basi tu
 
Back
Top Bottom