Afungwe Milele? Nimpige? Nimtangaze kwa ndugu wote/ Majirani? Au.....?

Hizi ni laana au nini???

Hapo lazima ufanye maamuzi magumu, Unapotaka kumuua nyani usimtizame machoni.

Jarbu kuchukua nafasi ya huo mtoto, ni maumivu kiasi gani ameyapata, anayoyapata na atakayoyapata.

Nani wa kumsaidi huyu mtoto??

Huyo ni kama mwanao, tafakari chukua Hatua.
 
  • Thanks
Reactions: Ntu
mkuu nashindwa hata kwenda kwake kumuona maana naona ntakufa nkiwa njiani!!!
Ina maana mpaka sasa hajafanywa chochote? Na wewe ba mkubwa umetulia tu hujaenda hata kujua mtoto ana hali gani?
Aaaarghh!!!
 
Thanks mkuu, ila please give me the way forward regarding the fate of this family, akifungwa hii familia itaendelea vipi? ie shule kwa watoto, chakula etc....!
Kwani ikitokea amekufa hao watoto wataishije? Yaani mmuache aendelee kuharibu na kuumiza watoto kwa malipo ya ugali anaowapa?
Hebu think big baba mkubwa!
Peleka ndani hilo balaa mkewe mpeni mtaji watoto wataishi tu,mbona watu tumezika waume zetu na watoto wetu hawajafa? Mama yao atajua wataishije hao wanae,Ng'ombe halemewi na nundu yake!!!!
 
Thanks a lot mkuu! Hivi ss nipo kituo cha polis na mtoto tunaandikisha maelezo, kufuatia maoni ya wadau wengi humu jamvini kunishauri nifanye hivyo....!
 
Hapo umefanya ambalo mama wa mtoto alitegemea ufanye alipokuwa anakupigia simu!!
Hakikisha sheria inachukua mkondo wake maana issue hizi hamkawii kukaa kama familia mkaamua aonywe tu!
Mtoto apate tiba stahiki asije akaishia kuwa shoga kwa sababu ya balaa la mtu mmoja!!!!
 
Thanks a million mkuu! You are really wonderful Mama!!! Keep it up and god bless you always:poa
 
sheria ichukue nafasi yake. loh!! huyo baba waajabu mno.
 
Thanks mkuu, ila please give me the way forward regarding the fate of this family, akifungwa hii familia itaendelea vipi? ie shule kwa watoto, chakula etc....!

That is the consequence ya uovu,hata hivyo kwani wewe hujisiki kuwasaidia watoto wa nduguyo aliyepotea? jitolee tu kaeni chini kama family muanagalie la kufanya na huyo bi shemeji nae atoke ahangaike na maisha asisubiri kuletewa.
mimi nalea mtoto wa mdogo wangu ana 15yrs jela ndio kwanza kamaliza minne, kabint sasa kina miaka 8 kiko fine na wenzake hakijui kabisa yanayoendelea duniani.
 
Thanks a lot mkuu! Hivi ss nipo kituo cha polis na mtoto tunaandikisha maelezo, kufuatia maoni ya wadau wengi humu jamvini kunishauri nifanye hivyo....!

umefanya jambo la maana huyo baba ana laana amefanya hivyo kwa mwanawe je kwa wengine anapaswa kufungwa maisha hafai kwenye jamii
 
Thanks mkuu, ila please give me the way forward regarding the fate of this family, akifungwa hii familia itaendelea vipi? ie shule kwa watoto, chakula etc....!

Kwani mkewe anajishughulisha na nini..? Lakini hii pia siyo sababu...ningekuwa mimi binafsi wala nisingelifikilia hili jambo mara mbili...angeenda kunako husika...ah mwanangu acha kabisa...
 
Thanks mkuu, ila please give me the way forward regarding the fate of this family, akifungwa hii familia itaendelea vipi? ie shule kwa watoto, chakula etc....!

Watoto watasoma na watakula Mungu ni Mwema wangap hawana wazaz na wanaishi????? Na wanasoma??????

Achana na mawazo mgando ndugu tukio alilolifanya hana sababu ya kufikiriwa mara mbili ata kidogo yaan kalawiti????

Auliwe tu hana sabAbu ya kuishi huyo na ukimchukulia poa atafanya kubwa zaid ya hilo

NB chunguza huenda ikawa hili tatizo liko kwenye damu jiangalieni vizur mara nying matukio ya aina hii yanarith
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom