Afungwe Milele? Nimpige? Nimtangaze kwa ndugu wote/ Majirani? Au.....?

Ntu

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
949
549
Wakuu nipeni pole maana kijana anayenifuata nimeambiwa na mkewe kwamba jana kamlawiti mwanae wa kiume wa kumzaa!!!!! Mbaya zaidi ni first born wake!!! nimechanganyikiwa; where to start???? Please help......
 
Duh! Hii Kali mpeleke kwenye vyombo vya sheria, inawezekana ni mgonjwa wa akili lakini Hilo litafanyiwa uchunguzi na daktari wa magonjwa ya akili, au usikute ameshakwenda kwa sangoma amemuambia akimuingilia kijana wake atakuwa tajiri! Maana mtu mwenye akili timamu hawezi fanya hicho kitendo cha kishetani.
 
ahasiwe
Wakuu nipeni pole maana kijana anayenifuata nimeambiwa na mkewe kwamba jana kamlawiti mwanae wa kiume wa kumzaa!!!!! Mbaya zaidi ni first born wake!!! nimechanganyikiwa; where to start???? Please help......
 
kifungo cha maisha kama aliyelawitiwa ni mtoto kama unavyoeleza. bofya hapa, kitabu hiki kimeeelezea kwa ufasaha kabisa makosa ya kinyume na maumbile na ubakaji wa kawaida, pamoja na haki katika ndoa n.k. kinajumuisha mambo mengi sana. unnatural offence ni kosa kubwa ambalo hata Bible inalijua. bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI

View attachment 125213
 
Mpeleke kwenye vyombo vya sharia achukuliwe hatua, usipofanya hivyo ina maana unamruhusu kesho aje kumlawiti na mwanao, si baba yake mdogo!...na huyo mke akome kumuita mumewe, mume gani analawiti motto wake wa kumzaa, tena wa kiume! Angekuwa mdogo wangu mie ningeshatia risasi 'fisi maji' huyo!
 
Labda ipo kwenye damu..mwombeni Mungu nawe yasikutokee. Kuhusu huyo kijeba, toa taarifa polisi ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi yake.
 
Wakuu nipeni pole maana kijana anayenifuata nimeambiwa na mkewe kwamba jana kamlawiti mwanae wa kiume wa kumzaa!!!!! Mbaya zaidi ni first born wake!!! nimechanganyikiwa; where to start???? Please help......
  • Chukua hatua stahili mapema iwezekanavyo. Ili iwe fundisho kwa alilolifanya kha!..
 
huyo ni mdogo wako kwa lugha nyepesi!!

Mfungulie mashtaka kama umethibitisha yeye kuhusika na tukio hilo kuliko kumchukulia sheria mikononi!!
 
kifungo cha maisha kama aliyelawitiwa ni mtoto kama unavyoeleza. bofya hapa, kitabu hiki kimeeelezea kwa ufasaha kabisa makosa ya kinyume na maumbile na ubakaji wa kawaida, pamoja na haki katika ndoa n.k. kinajumuisha mambo mengi sana. unnatural offence ni kosa kubwa ambalo hata Bible inalijua. bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI

View attachment 125213

Thanks mkuu will read it!
 
Labda ipo kwenye damu..mwombeni Mungu nawe yasikutokee. Kuhusu huyo kijeba, toa taarifa polisi ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi yake.

Mkuu kwetu hakuna hayo mambo, nimejaribu kumtaarifu mzee wetu mkubwa na akasema ni laana kwani haijawai kutokea katika ukoo wetu na akashauri nimchukulie hatua za kisheria, ndo maana nimekuja humu ndani kuongezea nyama ya yale nliyeambiwa nsije nkakurupuke na baadae njutie uwamuzi wangu!!!
 
huyo ni mdogo wako kwa lugha nyepesi!!

Mfungulie mashtaka kama umethibitisha yeye kuhusika na tukio hilo kuliko kumchukulia sheria mikononi!!

Mkuu naomba niweke vizuri uzito wa hili swala; mkewe ni mzazi kama wa siku kumi na kitu!!! Je akifungwa maisha, hii familia yake nani ataitunza???
 
Hii issue ni serious, sio ya kuchukukulia juu juu. Issue ya kumbaka mwanae wa kumzaa, tena wa kiume haivumiliki. Leo amembaka mtoto, je kesho akimchinja? Bado utaendelea kusita kuchukua hatua kwa hofu ya nani atalea familia yake..? Come'n..
 
Thanks mkuu, ila please give me the way forward regarding the fate of this family, akifungwa hii familia itaendelea vipi? ie shule kwa watoto, chakula etc....!
 
Mpeleke polisi fasta na mtoto apelekwe hospitali haraka sana. Tena aptiwe mtaalam maana huyo atapata "trauma" kubwa sana msipoangalia.
Wakuu nipeni pole maana kijana anayenifuata nimeambiwa na mkewe kwamba jana kamlawiti mwanae wa kiume wa kumzaa!!!!! Mbaya zaidi ni first born wake!!! nimechanganyikiwa; where to start???? Please help......
 
Mshawishi shemeji yako achukue hatua na umpe sapoti, usilianzishe ww kwani huwezi jua mkewe kama atatoa ushirikiano au la!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom