imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,682
- 71,029
Kuwauzia Watanzania wanaoteseka kwa kukosa dusheIli?
Kuwauzia Watanzania wanaoteseka kwa kukosa dusheIli?
Had nikapate huyo mteja mkuu....si ntakonda...hapana napenda biashara za kibabe..nahis wauzaj lazima wawe wana ulesbo ndani yakeKuwauzia Watanzania wanaoteseka kwa kukosa dushe
Mbona mi hata sioni sababu ya wewe kupaniki na kutukana? Tuanze kutukanana?Tatizo la mashoga mliozoea kumwagiwa manii makalioni
Menopause ina uhusiano na hamu ya ngono? Fool
Mbona una hasira mkuu? Huu uzi hutaki hata tuweke vionjo tufurahi?Tatizo la mashoga mliozoea kumwagiwa manii makalioni
Menopause ina uhusiano na hamu ya ngono? Fool
62 kwa 42, gape la miaka 20. Hapo dada anataka wagawane mali akaolewe na umri wake.
FUNZO: Wazee wenzangu tuoe umri wetu
Kbs mm hapa nina mwaka na siku 10 na masaa 12 namvutia pumzi nitaibukia kisutu nina majeraha ya kupigwa kiwiko na matekeWanaume ndio wanaongoza kunyimwa.
Ila kwenu mmebarikiwa mbinuko balaa!!Flat screen eh? Ndo maana una hasiraaa....mie nimebinuka balaa
Kivipi mkuu???Duh kwenye hili mashahidi ni wao wenyewe, ila huyu mama Adela atakuwa na ushahidi wakutosha
Gap Mbona dogo tu hilo!!,Watu wanaoana kwa Magap ya miaka Thelathini au zaidi na wanaishi.Angalia Hayati Mugabe wa Zimbabwe na mkewe, Hayati Reginald Mengi na Mkewe Jackline Mengi.62 kwa 42, gape la miaka 20. Hapo dada anataka wagawane mali akaolewe na umri wake.
FUNZO: Wazee wenzangu tuoe umri wetu
Kufanyaje?Wazee wajifunze
Tupe Mambo tupe tena.Nimeuliza...sijasema iwe lazima..maana wengine chin ya hapo hawana hamu kbs...wewe mwanamke mwenzangu hamu ipo au haipo?
Aisee inawezekana.HAPO KINACHOTAFTWA NI KUGAWANA MALI WALA SI TENDO LA NDOA!
Na ukichunguza sana unakuta huyo mwanamke ndo alianza kuchepuka mzee akaamua kutokumpa talaka kuhofia Mali,
Huenda mzee Mali kaona azihamishe taratibu kwa watoto!
Huyo mwanamke kagundua mchezo kaona aje na ombi la talaka kwa kukosa unyumba!
LAKINI LENGO NI MALI NA NYUMBA!
Kama watoto wa huyo mzee ni wakubwa wanajitambua;
Dawa ni kupita naye hivi huyo mwanamke mapema sana! Kosakosa aokote hata makopo potelea mbali
Sema kimeumanaaaa!!!!Ndoa zimekuwa na utata kila kukicha, sasa mtu ana miaka 62 anataka kumuaacha kwa nini? Au ndio kutaka kugawana mali mapema?
Adela Ngogolo (42) amefungua kesi ya madai mahakama ya mwanzo Ilala akiomba kupewa talaka na mumewe, Alcado Mkondola (62) kwa madai kuwa ameshindwa kumpatiwa haki yake ya tendo la ndoa kwa miaka mitano. Adela na mumewe kwa pamoja wanaishi Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam.
Kwa hisani ya Dar Mpya.
Huu umri ndo amekuwa sexual active zaidi uhitaji kama wote..Hivi age hiyo mwanamke hamu inatokea sehem gan jaman..?duh...
Funika ujinga nduguTatizo la mashoga mliozoea kumwagiwa manii makalioni
Menopause ina uhusiano na hamu ya ngono? Fool
Kimsingi mwanamke anapokuwa na umri MKUBWA mahitaji HUWA makubwa pia ila wababa umri MKUBWA HUWA na mahitaji madogo.nikipata muda taleta somo Hilo hapaMtu menopause bado,kwanini asiwe na hamu?..ushafika miaka 42 ukaona hilo?
Huwenda jamaa kaombwa kuacha kimya kimya lakini hakutii vikao vya washenga,familia,mabaraza ya usuluhishi ikabidi Bimkubwa aende mahakamaniiiii.Sasa si wangeachana kimya kimya kama walivyokutana ,mambo ya kwenda kuaibishana ya nini?
🤣🤣🤣Umeamka?
mzee namjua ni mstaafu wa shirika moja la usafirishaj af ni mtu wa feg sana kuna kipind aliugua tb mwanamke kakosa tu busara mzee afya ni mgogoro bint anataka tu mali asepe kwa dogodogo mzee kwa umri wake atakua kachoka ivo ni busara tu kutumikaUshahidi mahakamani unakuwa ni nini kama mzee anadinda kwa kiasi si anashinda tu kesi?..
Huyu mwanamke anataka mali navyohisi
true apo ndo dem anaenjoy sexHuo ndo umri wa kupiga show za kibabe za kula bata