Afungua kesi mahakama ya Mwanzo Ilala kudai talaka baada ya kunyimwa tendo la ndoa kwa miaka mitano

Wajinga na wahuni pia huzeeka hivyo sio kila mzee au mtu mzima ana busara.

sasa huyo mwanamke anategemea serikali au mahakama itamfanya nini?
Anachokidai ni haki yake kisheria na kikatiba.Kunyimwa unyumba Ni moja kati ya sababu maridhawa zinazoweza kuifanya mahakama kuamua kwamba ndiyo imevunjika na hairekebishiki na hivyo kutoa divorce .
 
Dah....inaonekana bas wengine wagonjwa..yaan niingie 40 niwe na hamu kama 25?? Mm sina 40 ila sina hizo hamu jamani niko kama bibi wa 70yrs ..why..why..why!
Pole Sana,40 ndo Kwanza kumekucha.Hata hivyo hauko peke yako,kuna wengine hata chini ya hapo hawapendi kabisa kubanduana.Kunakuwa na tatizo fulani kama si la kisaikolojia ,kitabibu basi wenza unaokuwa nao hawafanyi homework yao vizuri.
 
Pole Sana,40 ndo Kwanza kumekucha.Hata hivyo hauko peke yako,kuna wengine hata chini ya hapo hawapendi kabisa kubanduana.Kunakuwa na tatizo fulani kama si la kisaikolojia ,kitabibu basi wenza unaokuwa nao hawafanyi homework yao vizuri.
Mie sidhan si ugonjwa nadhan majukumu na kuchoka sana . Na nnashukuru Mungu kwakweli..maan wengine wana vizazi vya hovyo sana
 
Mie sidhan si ugonjwa nadhan majukumu na kuchoka sana . Na nnashukuru Mungu kwakweli..maan wengine wana vizazi vya hovyo sana
Huoni Kama unakosa raha na utamu wa dunia hii? Haifai kuwa job mania.Kupata raha ukawa Kama namba moja duniani Ni haki yako pia ya msingi.Na haki hi inatakiwa kulindwa.Na hofia huko mbele usijejikuta unafanya supp ikawa taabu .
 
Inafikirhaisha sana wataalamu wa sheria waje watupe darasa katika hili..kama ikionekana mwanaume ni mzima hana matatizo yoyote wanafanyaje kupata ushahidi ?
Hapo tatizo siyo suala la jamaa kuwa mzima ama la,tatizo ni kutopiga mashine iwe kwa ugonjwa ama jamaa hataki.Shida kushindwa kula mzigo vingine vyote ni sababu za kutokula mzigo.
 
Atathibitishiaje mahakama kuwa kwa miaka5 mumewe hajamgegeda, na je mume wake akisema hayo madai sio kweli
Mpaka ufungue kesi kwenye masuala ya ndoa kuna hatua za kisheria lazima uzipitie ndo unapewa kibali cha kufungua kesi mahakamani.Unaanzia kwenye mabaraza ya usuruhishi yako kwenye kata.Yanaedeshwa na maafisa ustawi wa jamii,ni wasomi kuanzia digrii.Hata hivyo hayo masuala huanzia kwa wazazi,washenga,viongozi wa dini n.k.Na wanandoa huwa wameishatengana aidha kwa kukubaliana au kwa lazima.
 
Back
Top Bottom