Afukuzwa chuo baada ya kumkumbatia mwanaume hadharani

Kwa nchi nyingine au dini nyingine au jamii nyingine zinacomplicate maisha .maisha ni simple lakini wanacomplicate mara kutoendesha magari,mara kuvaa nguo nyeusi.Mungu alitupa akili na utashi wa kusimplify maisha yetu dunian.watu wengine wanacomplicate.rubish

Sent using Jamii Forums mobile app

Uislamu ni dini iliyokamilika, haya ni baadhi tu ya mambo ambayo uislamu umechambua kuwa havifai kwa wale ambao si wanandoa ili kujenga maadili ya kuondoa matamanio ambayo kwa mujibu sheria zetu za kiislamu zimekataza.

Nadhani ukija upande wa pili wa dini za kikiristo na nyengine utakuta hakuna fatwa zozote juu ya mambo kama haya na ni udhaifu mkubwa na ndio mana ukiristo tunaitilia shaka sana.
 
Uislamu ni dini iliyokamilika, haya ni baadhi tu ya mambo ambayo uislamu umechambua kuwa havifai kwa wale ambao si wanandoa ili kujenga maadili ya kuondoa matamanio ambayo kwa mujibu sheria zetu za kiislamu zimekataza.

Nadhani ukija upande wa pili wa dini za kikiristo na nyengine utakuta hakuna fatwa zozote juu ya mambo kama haya na ni udhaifu mkubwa na ndio mana ukiristo tunaitilia shaka sana.
Well said Na umejitaja wewe kua ni muislam Lakini mbona avatar yako naona Kama ni musalaba?
 
Waambieni wazazi wamlete Bongo asome binti...huku peace sana, hata akiwa amevaa kichupi class ruksa, madenda nje nje kwenye veranda, sex usiku kwenye car parking na madarasani ruksa. Aje ale raha bana, kwani nini? We live once
 
Hapo wao ndo walitukana sababu hakuna mantiki mimi nikumbatiwe alafu nionekane mimi na alienikumbatia tuna mahusiano ya kimapenzi.

Kwaiyo kumkumbatia mama yangu mzazi nalo kosa?

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii

MWANAMKE mmoja nchini Misri amefukuzwa chuo baada ya kuonekana akimkumbatia mwanaume katika moja ya video iloyosambaa katika mitandao.

Binti huyo amefukuzwa katika chuo cha Al -Azhar akishutumiwa kujidharilisha yeye na chuo baada ya kuonekana akimkumbatia mwanaume huyo katika video ambayo ilichukuliwa katika chuo cha Mansoura nchini humo.

Baraza la nidhamu la chuo cha Al- Azhar lililokaa siku ya jumamosi liliamua kumfukuza Chuo binti huyo, Msemaji wa baraza hilo Ahmed Zarie alieleza vyombo vya habari.

Imeelezwa kuwa video hiyo imeleta picha mbaya kwa chuo hicho kitu ambacho hakiruhusiwi aidha imefahamishwa kuwa kukumbatiana baina ya mwanamke na mwanaume ambao hawajaolewa sio maadili wala taratibu za jamii ya taifa hilo.

Kwa upande wa kijana aliyeonekana kwenye video, msemaji wa baraza hilo amesema kuwa watakaa leo jumatatu na kufanya maamuzi dhidi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nchi na jamii ina miiko yake na maadili yake,kuna nchi wanashangaa amber rutty kafikishwa mahakani,tuwaache watu na maadili ya nchi yao,inaweza kwako ukaona sawa kwa mwingine haifai.
 
Write your reply...Hvi huyo mkuu wa CHUO kabla hajaoa hakuwahi kufanya uasherati Kwanza? Hakuwahj kukumbatiana?
 
Back
Top Bottom