Afu n'sikie mkisema sikuwaalika...msosi wa kufa mtu, karibuni!

Nimeipenda hiyo tray ya sinia la bati full upwani. Hapo ukila lazima ukunje goti. Mkate wa kumimina dah!
 
huyu mpishi atakuwa mtu wa pwani.mmh kwa macho vinavutia.na hayo maharage kwa kuyatizama tu,ni matamu
 
huyo hapo pembeni ya samaki ni mdudu pua fupi??

Hao wanaitwa ngisi, sio mdudupua fupi, ni mmoja kati ya samaki watamu sana asiekuwa na miba.......! supu yake ni moja kati ya viagra nzuri tu baada ya samaki pweza......!
 
5942238867_b043575bce_b.jpg



Hisani ya Maggid Mjengwa.

Ntai print ili nikisikia njaa naiangalia picha nakunywa na maji, nadhani ntakuwa nashiba!
 
Back
Top Bottom