After poor quality ceramics from Kenya failed to meet standards, Juakali govt resorted to...

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,188
79,398
Dar, Nairobi Quarrel Over Ceramic Tiles

By Marc Nkwame in Arusha
CONSIGNMENTS of ceramic tiles from Tanzania to Kenya have stuck at Namanga border in Longido District allegedly due to Nairobi's restrictions on imported ceramic slabs mostly from Arusha.
It seems the ceramic tiles from Tanzania are of higher and better quality than the Kenyan made, compelling the government to ban importation of building materials from Arusha, seemingly to protect its industries.
That came to light during an official visit by former Permanent Secretary in the Ministry of Industries, Trade and Investment Elisante Ole Gabriel to the Kenya-Tanzania border who used the opportunity to as well inspect the newly opened One Stop Border Post at Namanga. Professor Gabriel has been transferred to the Livestock and Fisheries Ministry.
He discovered that there are tiles from Tanzania that have been refused entry into Kenya and stuck at the border, following some misunderstandings between authorities on either side of the rather busy borderline that separates the two neighbouring countries.

Nearly 50 truckloads of ceramic tiles have been grounded at the border. "Our exports of building tiles to Kenya have been grounded here for over two weeks now after being denied entry," said Professor Gabriel, adding that some building materials from Kenya have also been held on the Tanzanian side after Tanzania authorities refused haulage of the consignments to Arusha.
According to the Permanent Secretary, Tanzania Bureau of Standards (TBS) which has a portal at Namanga has inspected and tested the ceramic slabs from Kenya, concluding that they had failed the required minimum quality standards in the country.
"That is why even Kenyan builders prefer tiles from Tanzania," said Prof Gabriel, adding that the ceramic slabs stalemate between Kenya and Tanzania will be amicably solved in the course of this week when the government dispatches a special team to work on the problem.
He explained that the team to address the issue which should be jetting in from the first days of August is expected to be led by the Deputy Permanent Secretary in the Ministry.

Dar, Nairobi quarrel over ceramic tiles
 
Huu ni mwanzo tu, watakaa tu nyang'au.
Karibu mzee tuendelee na mechi. Raundi hii Wakenya ndio washindi katika battle. Haswa tangu JF irudi baada ya ban. Akina Geza ulole wamekuwa hafifu. Kwa maswala ya tiles, mkiban tiles zetu tunaban zenu, Uhuru Kenyatta ameerevuka. Sio kama zamani mlikuwa mnaban vitu za Kenya lakini Kenya inaogopa kuban zenu. Sasa hivi mkimwaga ugali, sisi hao tunamwaga mboga, hadi kieleweke.
 
So you are cool with having to use sub standard tiles! It seems like Kenyans have a thing for sub standard stuff..
 
Karibu mzee tuendelee na mechi. Raundi hii Wakenya ndio washindi katika battle. Haswa tangu JF irudi baada ya ban. Akina Geza ulole wamekuwa hafifu. Kwa maswala ya tiles, mkiban tiles zetu tunaban zenu, Uhuru Kenyatta ameerevuka. Sio kama zamani mlikuwa mnaban vitu za Kenya lakini Kenya inaogopa kuban zenu. Sasa hivi mkimwaga ugali, sisi hao tunamwaga mboga, hadi kieleweke.
Kenya haina msuli wa kutosha kupambana na Tanzania. Kenya inafanya biashara sana na nchi za kusini na Tanzanian ndio njia kuu kwenda kusini, 50pc ya legumes zenu inatoka TZ, na karibu mchele wote unatoka TZ na sehemu kubwa ya mahindi, matunda na soon natural gas, utawezaje kupambana na mtu unayemtegemea kiasi hicho?, lazima utakaa tu.
 
Sawa wacha tuone kama nyinyi hamtatuma wajumbe wenu waje Kenya kuomba msamaha. Ukisoma hio habari, inasemekana mnapanga kutuma wakuu wenu waje kuongea nasi. Kitambo tulikuwa hatulipizi kisasi, lakini sasa hivi tumekasirika.
 
Nazipata wapi hizi tiles za Bong

Nazipata wapi hizi tiles za BOngo maana nienda dukani nakuta hnyingi za kichina
Mbona zimejaa tele mkuu, Twyford na Goodwill wote wana viwanda vikubwa hapa bongo. Ukifika shop kua specific utazipata, its a matter of time tu ila Tz is bond to be EA factory
 
Nazipata wapi hizi tiles za Bong

Nazipata wapi hizi tiles za BOngo maana nienda dukani nakuta hnyingi za kichina
Au nicheck PM nikuonganishe namu uzaji. Ni agent wao, he could give you a better deal
 
Mbona zimejaa tele mkuu, Twyford na Goodwill wote wana viwanda vikubwa hapa bongo. Ukifika shop kua specific utazipata, its a matter of time tu ila Tz is bond to be EA factory
Kumbe Twyford ni cha kibongo, Goodwill najuaga ni wachina
 
Karibu mzee tuendelee na mechi. Raundi hii Wakenya ndio washindi katika battle. Haswa tangu JF irudi baada ya ban. Akina Geza ulole wamekuwa hafifu. Kwa maswala ya tiles, mkiban tiles zetu tunaban zenu, Uhuru Kenyatta ameerevuka. Sio kama zamani mlikuwa mnaban vitu za Kenya lakini Kenya inaogopa kuban zenu. Sasa hivi mkimwaga ugali, sisi hao tunamwaga mboga, hadi kieleweke.
Mhhh uhuru hana la kubana unataka abane mlale njaa hahahaha tanzania inajeuri ya kubana kwasababu tunajitosheleza kila kitu
 
Kumbe Twyford ni cha kibongo, Goodwill najuaga ni wachina
Goodwill ni kiwanda cha TZ kipo Mkuranga kama unaenda Kibiti kipo pembezoni mwa barabara kuu ya kwenda Kusini (Lindi & Mtwara) kijiji kimoja kinaitwa Njopeka. Ndio kiwanda kikubwa sana ukanda wote wa mkoa wa Pwani.

Wanatengeneza tiles zisizoteleza na nene ambazo hata ulaya au marekani huwekwa kwenye nyumba za matajiri.

Kampuni ni ya wachina.
 
Last edited:

Similar Discussions

Back
Top Bottom