Tropical,
Hilo la kurudi ktk dhahabu haliwezekani kwa sababu hawa wanaotawala uchumi wa dunia hawana hizo dhahabu, hawawezi kuwa upande wa wahitaji ama wanunuzi isipokuwa siku zote wao wanataka kuwa main supplier, mengine yote yanajipanga nyuma yao.
Sisi ni wahitaji leo zaidi ya wakati wowote ule uliopita na kibaya zaidi ni wahitaji wa mambo yasiyokuwa muhimu wakati hatuna investment za kutosheleza..Hata wewe kama unamahitaji makubwa nyumbani kwako say matuimizi yao ni 100,000 lakini kipato chako ni ni 50,000 utahitaji kukopa 50,000 ili ujitosheleze ktk matumizi. Na kama hutafikiria jinsi ya kuongeza kipato chako, ati mkopo unauchukua ni kwa ajili ya suti na kujirusha Nyumbani Lounge huwezi kutegemea maisha ya mke na watoto nyumbani yatakuwa safi tu maadam fedha iko hata kama ni ya mkopo, tutakopa..
Hii ndio Tanzania yetu mkuu wangu, tunaagiza kuliko uzalishaji na tunapokopa hatuwekezi ktk vyanzo vya uzalishaji au kukuza uchumi bali tunajirusha zaidi. Matumizi yetu makubwa yapo ktk maswala ambayo sio muhimu kabisa wala hayahusiani na kukuza uchumi, madeni ndio madeni afadhali ya hao Marekani wanakopa lakini uwezo wanao wa kulipa isipokuwa hawataki kulipa zote kwa sababu fedha zinahitajika zaidi ktk kukuza zaidi uchumi wao.
Kama vile wewe umekopesha fedha na kuzitumia kama mtaji wa biashara na hulipi bank mkopo wate isipokuwa unaendelea kuzungusha fedha yao kama ongezeko la mtaji...Na ndio hali ya matajiri wengi sana kwamba wana madeni makubwa lakini hayo madeni yapo ktk mtaji na wamewekeza ktk uzalishaji na kukuza biashara zao wakilipa mkopo taratibu, hali hiyo huikuti kwa maskini ambaye anakopa ili kujikimu na matatizo ya kifamilia..