After CDC, 80% of men and 75% of women have lost their virginity | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

After CDC, 80% of men and 75% of women have lost their virginity

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Jan 10, 2011.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Wachangiani samahani nimerekebisha. ni 80% wanaume ambao wamesha poteza ile original yao na siyo 19,80%.

  Sample: ni watu wenye age ya 19 yrs ambao hawajaolewa wala kuoa.
  Thanks.


  Source:
  [​IMG].
   
 2. Nipigie

  Nipigie Senior Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  women 75 %????????? . mwisho wa dunia.
   
 3. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  mbona hujashangaa ya 80?ahaha..
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  haya tena mie nilizani wanaume watakuwa kwenye 90s hivi.....:tongue::tongue:
   
 5. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  75%+19.80%=94.8% is this ryt? oyah 2nahitaj takwimu z ukwel cyo unakurupuka 2.
   
 6. smati

  smati Senior Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oya, kama hesabu zinakushinda tulia. unatutia aibu wenye fani hapa.

  Ngoja nikufafanulie.

  19.80% of men, lost virginity.mean 80.20 % are virgin. we talk oonly men here. do the same for women also.

  but 19.80% +75%=??? nimadudu.
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hii lakini mie si kubali nayo
  iweje 19.80% of men
  na 75% of women..

  mmhhh nina uhakika hatujaji toboa wenyewe..
  hiyo number ya wanaume lazima iwe juu..

  ama si hivyo inaonekana jinsi wanaume wanavyo tanga na njia...
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Analysis nzuri sana Afrodenz,unless hao wachache wanafanya kazi kubwa ya kutoboa wengi kila mmoja then hakuna ukweli kwenye hizo hesabu zao..........wafafanue si kutuwekea ma-percentage ya kubuni tu.............Shosti,Husnininyo,Preta na Tatiana hawajaona hili,ngoja nilale,niamke nikiwa fresh ku-calculate tena.:ban:
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Pamoja na kurekebisha kwako hao wanawake wanajitoa hizo bikira zao bila wanaume???? Na wasiwasi na hizi takwimu!!!!
   
 10. F

  Ferds JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwani mtu asipokuwa na bikra au akiwa nayo nini kinaongezeka ktk mwili wake au ni mawazomgando tu hayo, na itaporomoka mpaka ifike 0% ya wenyenayo, yaani itafika wakati wote tutakuwa ngoma droo ,labda watoto wachanga tu ndio watabaki kuwa na bikra
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmmhhhhhwanataka kutuonesha jinsi tulivyokuwa wabaya..
  lakini mmmhh hii evedince yao inawasuta wenyewe lol
   
 12. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Uniote mi nakubembeleza ee!!!!!
   
 13. smati

  smati Senior Member

  #13
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kudanganya watu. Bikira wapo wengi sana. wanaume na wanawake. Acha kupotoasha jamii.
   
 14. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Ndugu, kuwa bikira ni kitu chema hakuna mfano, ni heshima, ni dhamana, zaidi ni kidhihirisghi cha uaminifu wa mtu. Kutokuwa bikira ni indicator ya kutokuwa mwaminifu, na hii ndio chanzo cha watu kuto jali hata dnoa zao.
  Nasikitika kuwa unatete hili, najua ni kwa sababu pengine huna naman tena ya kuwa bikira. Bikira wapo ila hawapendi kuolewa na mtu ambaye si bikira.

  Mpango wa Mungu ni kuwa watu wote wawe bikira hadi waolewe/ kuoa. hatuna sababu ya kuutukuza huu uchakachuaji wala kushawishi wengine eti kuwa bikira ni ushamba. wacha wawe washamba lakini ni heshima kwa familia na jamii yak pia.
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nimekutunikia PHD.
  WAO HAWAJISEMI...yaani nataman niwe na nguvu nitembee na bakora mkonon nikimwona mwanaume nasimama NAMCHAPAAAAAAAAAAAA NAMCHAPAAAAAAAAAAAAAAA.....haaaa WANANIKERA AWA WANDUME acha tu yan wanamalengo ya kuionyesha jinsia ke ni wahanga,wabaya,hawana maadili .....sasa WALIJITOA WENYEWE izo naniiii??????ngoja nianze kupiga pushap next wk naanza OPERESHEN CHAPA MEN.
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  too theoritical wat abt practical?
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,473
  Trophy Points: 280
  hapa tunajadili nini wajameni?
   
 18. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Which practical are you talking about???.
   
 19. LD

  LD JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mmmmmm, kila lawama, kila baya, kila kosa, kila..................lazima mwanamke tuuuuuuuuuuuu.
  Walijitoa wenyewe????

  Ndo yale yale wanampeleka mwanamke kwa Yesu eti huyu kazini, lakini amezini na nini/nani sio ishu.
  Adamu nae, matunda umekula unaulizwa swali unamtupia Eva lawama, Eti huyu mwanamke uliyenipa amenipa nile.
  Kwa nn usijibu swali Umekula matunda ya mti wa......,

  Nyumba haina maadili huyu mwanamke, watoto wameharibika huyu mwanamke......
  Sawa bwana, tutazibeba tu hizo lawama zenu.
   
 20. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Hatujasema wanawake tuu, hata wanaume wanatakiwa kuwa bikira hata kama hakuna kiashiria cha kuwa bikira.
   
Loading...