😂😂Umeniwahi kuanzisha huu Uzi👍
Ndio mkuu😂Ha ha ha
Kwa mara ya kwanza nilisoma hapa kuhusu afutatu cha ajabu nikaenda dukani nikasikia mtu akisema afutatu, nimejikuta nacheka tuTena Afutatu yenyewe ya kutuziba ndomoo kataa blaza kataaa!
Chombo ya kanali
Chanzo chake ni afutatu.Huu msemo chanzo chake ni nini?
Mkoa gani hakuna andazi la mia tatu ?Mmh! Mkuu, unaishi mkoa gani? Mbona uchumi wa huo mji uko chini kiasi hicho? Chakula cha buku! Huku ni Buku Jero. Huku hatuna andazi la 200 wala 300, huku andazi Jero! Vocha ya jero unanunua kifurushi kipi cha combo?
Umepigwa izo bureZa afutatuView attachment 2415183