AfroEast: Album itakayompleka KondeBoy o2 arena mwezi wa 6!

ze jj

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
485
571
Kondeboy juzi kafanya booking o2 arena. Sababu ni AFROEAST album. Humo ndani kuna nyimbo kwangaru ambao ndo wimbo mkubwa kuwah kutokea tz haufikiii. Yaani kuna hits songs hataree.

Ikitoka hii headlines za dunia zitamuongelea kama BURNABOY.
 
Kwa mashabiki gani alionao huyo dogo? Acheni kumkuza kupita kiasi bana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa mashabiki gani alionao huyo dogo? Acheni kumkuza kupita kiasi bana

Sent from my iPhone using JamiiForums
wakati diamondplatinumz anapambana kuwa mkubwa mlisema hivihivi. Mwisho akawa mkubwa Leo mnamkubali. Diamond mwenywe anajua dogo kondeboy ni fundi ndo maana akamchukua. Ndo maana imemuuma mpaka kampiga million mia8. Kuhusu mashabiki ndo sisi ...ukiangalia followers wa burnaboy na davido utajua nguvu ya album ikiwa na hits song. Leo BuRnaboy ndo african giant wakati anafollowers mill5 tu wakati davido followers million15
 
Kwangwaru ndi wimbo mkubwa kuwahi kutokea Tz . Punguza ushabiki jombaa maana muziki ya darasa bado haijafikia
 
Kondeboy juzi kafanya booking o2 arena. Sababu ni AFROEAST album. Humo ndani kuna nyimbo kwangaru ambao ndo wimbo mkubwa kuwah kutokea tz haufikiii. Yaani kuna hits songs hataree. Ikitoka hii headlines za dunia zitamuongelea kama BURNABOY.
hiyo albam ina jumla ya nyimbo ngapi?
maana wewe unajua hadi na kuwa kuna ngoma kali kuliko kwangwaru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwangwaru yenyew imehit bongo tu na east africa ndo utuambie wimbo mkubwa akat tetema dunia nzima we ni punga toka umakondeni
 
kwangwaru yenyew imehit bongo tu na east africa ndo utuambie wimbo mkubwa akat tetema dunia nzima we ni punga toka umakondeni
Kwangaru ilibaniwa promo.... Ile ngoma ilijiprome yenyewe...hata video ilibaniwa, ilipewa video flani ya kawaida sanaaaa. Lakini ndo ngoma ya msanii Wa kitanzania yenye views Wengi kwa muda mfupi bila maroboti. Yope remix siyo ya mtanzania,,,NANA ni ya zamani
 
Ila Zamani alivyokuwa WCB si mlisema Kwangwaru ina maroboti,leo katoka haina maroboti UNAFIKI mbaya sana.
😀😀😀😀

Kwangwaru-Harmo ft Diamond=Side
Yope-Innos B Ft Diamond=Said
Naona unalinganisha Side na Said.

😀😀😀😀

Ubaya zaidi Harmo kazungukwa wanafiki ambao ,mwanzo walikuwa hawa mkubali kisa yupo chini ya Diamond (WCB).

Humu JF kuna threads kibao mwanzoni walikuwa wanamponda Harmonize kufanana na Diamond.Diamond kambrand wewe mpaka akafikia kusimamisha projects zake binafsi kwa miezi saba ili muizoee sauti ya Harmo.Ila leo waliosema Harmo kafanana na Diamond,leo ukiwauliza watakataa kata kata.

Leo wana mkubali kisa yupo nje ya WCB.Ila nakukumbusha muda utaongea na siku zote kuwa namba moja ni kazi RAHISI,ila kumaintain number moja ni shughuli kubwa sana
 
Kondeboy juzi kafanya booking o2 arena. Sababu ni AFROEAST album. Humo ndani kuna nyimbo kwangaru ambao ndo wimbo mkubwa kuwah kutokea tz haufikiii. Yaani kuna hits songs hataree. Ikitoka hii headlines za dunia zitamuongelea kama BURNABOY.
Kaka vipi si wengine hatukuwepo hapo O2 Arena,vipi ilikuwaje kama una picha tupostie.

Shikamoo JF ukijitoa ufahamu kuna siku itakuumbua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom