Afro IT kuna tatizo gani?

MKuu Samahanini sana kwa kutokuwa hewani kwa mwezi sasa,Huku China tupo kama lupango,kuna sheria yao wameianzisha kuwa Website zote lasima ziwe zimesajiliwa na kutofanya hivyo ni faini kuwa mno,sasa kila provider anachachawa hususan kwa website za nje kwani wanaogopa mno,na kupata hiyo ICP kuna ka taratibu ambacho kwa foreigner ni tabu kidogo,Nina uhakika mwanzo wa wiki hii tutarudi kundini.

Pia tupo kwenye makamilisho ya kitu kingine ambacho nina uhakika kitakuwa na manufaa makubwa zaidi

Samahanini kwa usumbufu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom