Afrika yule mtunzi na muigizaji wa maigizo ya kivuli,utelezi,mkaguzi afariki dunia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afrika yule mtunzi na muigizaji wa maigizo ya kivuli,utelezi,mkaguzi afariki dunia.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bendera ya bati, May 16, 2011.

 1. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yule yanki aliyetunga maigizo ya kivuli,utelezi,na sasa mkaguzi linaloendelea kuoneshwa na kituo cha televion cha ITV amefariki dunia.preliminary info.zinasema chanzo cha kifo cha kijana huyo ni ajari ya gari.Labda mwenye habari zaidi atujuze.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Anaitwa nani?? Alazwe pema peponi....amen!
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ajali zitatumaliza,hata mimi nilikoswakoswa siku si nyingi
   
 4. M

  Minza kuzenza Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo kaka alipata ajali pale kimara resort kituoni siku ya jmosi jioni baada ya kudondokewa na container la mizigo toka kwe gari la mizigo. Na walifariki watu watatu akiwemo huyo thomas senzighe.
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  MUNGU AMEMPENDA ZAIDI! Amen!!
   
 6. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi AMEN.
   
Loading...