Afrika yetu

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
25,994
56,167
africaaidsm.jpg
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa
by Dambisa Moyo
Bonge ya kitabu hii inaelezea picha yote hiii
 
MAULANA MOLA WANGU RHABUKA IBARIKI TANZANIA MILELE YOTE AMEN RA
 
Tumelogwa
Kuna muda na wakati wa kila kitu chini ya jua . ...MFALME SELEMANI . ..
Be positive and bless others . ..utashangaa maisha yatakavyo kuwa mazuri kwako . ...ACHANA NA WAZUNGU . ....ubarikiwe sana ndugu yangu . .
 
maovu ya sehemu moja yanaafect vipi umwisho wa dunia..?
Mkuu jaribu kupitia vitabu mbalimbali vya dini Kuna baadhi vimejaribu kudodosa au kuelezea dalili mbalimbali za mwisho, maovu kukithiri ikiwa ni moja wapo.
 
Mkuu jaribu kupitia vitabu mbalimbali vya dini Kuna baadhi vimejaribu kudodosa au kuelezea dalili mbalimbali za mwisho, maovu kukithiri ikiwa ni moja wapo.
tayari nshapitia lkn sioni mwisho naona mwanzo wa binadamu kuendelea kusambaa ulimwenguni..!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom