hilo lako! bora ungeishia kwenye tu...!
better keep quit like baby girl.He! kipi bora kusogea kwenye mdomo wa simba au kukaa mbali..?
Kuna muda na wakati wa kila kitu chini ya jua . ...MFALME SELEMANI . ..Tumelogwa
Kiza kimeota macho halafu kina masikiotanzania yetu, awamu ya tano
Mkuu jaribu kupitia vitabu mbalimbali vya dini Kuna baadhi vimejaribu kudodosa au kuelezea dalili mbalimbali za mwisho, maovu kukithiri ikiwa ni moja wapo.maovu ya sehemu moja yanaafect vipi umwisho wa dunia..?
tayari nshapitia lkn sioni mwisho naona mwanzo wa binadamu kuendelea kusambaa ulimwenguni..!!Mkuu jaribu kupitia vitabu mbalimbali vya dini Kuna baadhi vimejaribu kudodosa au kuelezea dalili mbalimbali za mwisho, maovu kukithiri ikiwa ni moja wapo.
Owright then..tayari nshapitia lkn sioni mwisho naona mwanzo wa binadamu kuendelea kusambaa ulimwenguni..!!
tanzania yetu, awamu ya tano