Afrika ya kati hali si shwari kwa sababu ya vikundi


scatter

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Messages
1,296
Likes
204
Points
160
scatter

scatter

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2013
1,296 204 160
Tunashuhudia leo magenge yamepindua nchi na kuleta maafa kwa wananchi wa nchi hiyo na kuingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe hali tete huko mpaka majeshi ya ulinzi toka ufaransa yamelepelekwa kusaidia amani na kupora silaha vikundi hivyo.

Mungu ibariki afrika ya kati mungu ibariki afrika zuia vikundi vyote vyenye nia OUVU katika nchi zetu!

*raisi wa ufaransa amesema hataocha kupeleka askari wake huko afrika ya kati
 

Forum statistics

Threads 1,251,137
Members 481,585
Posts 29,758,943