Afrika tushukuru The Hague

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,006
2,166
Kuna vurugu Tunisia, Kuna vurugu Egypt, tuombe vurugu zifike Tanzania maana nionayo siyo ya kawaida Afrika.

Huko kote kwenye vurugu tungekwisha ona maiti nyingi barabarani lakini kuna nini mpaka ma-dikteta hawa wakawa na unyonge kiasi hicho?

Hisia yangu ni kuwepo kwa mahakama ya kimataifa.

Nadhani mahakama hii imekuwa ni kinga kwa wananchi, watawala wakihofia kutiwa pingu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom