Afrika sio sehemu sahihi kwa demokrasia ya Magharibi

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,838
3,123
Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia kuona wale wanaojiita wapigania demokrasia na haki za binadamu wakikosoa na kupinga maandamano.
Ni ukweli usiopingika kwamba wale wanaoteteaga maandamano, wakidai kwamba ni haki ya kikatiba, hawajayaunga mkono kwasababu tu msingi wa maandamano hayo ulikuwa unapingana ,au haukuendana na matamanio yao, kwasababu waandamanaji wanataka ndege iachiliwe lakini wao wanafurahia ndege kuzuiliwa.

Hapa nimejifunza kwamba, hakuna upande wowote wa kisiasa ambao utapenda kuona wananchi wakiitisha maandamano ambayo yatakuwa na msingi wa kupinga sera au matendo ya kiutawala ya upande wao ,endapo upande huo utakuwa umeshika dola.

Sijaona mpigania demokrasia yeyote yule ambaye angalau amejaribu kuhoji kwamba ni kwanini polisi wameenda na silaha za moto kuwatawanya waandamanaji ambao hawajabeba hata fimbo ,kama ilivyo kawaida yao kuhoji.
Pia sijamsikia mpigania demokrasia yeyote yule akipinga au kukosoa maandamano ya kwa kusema kwamba hayakuwa na kibali cha polisi, pengine hii ni kwasababu hata wafuasi wao wamekuwa wakijaribu kwa nyakati tofauti tofauti kuandamana bila vibali.

Kitendo hichi pia kimenifundisha kwamba, Afrika siyo sehemu sahihi kwa demokrasia ya magharibi,,, kama kweli Afrika inahitaji maendeleo basi kuna haja ya sisi kama Waafrika kukaa chini na kuamua au kupendekeza aina ya demokrasia ambayo itaendana na mazingira pamoja na tamaduni zetu,, ni mfumo wa utawala ambao kwa Afrika hautakaa utekelezeke, na hata wale wanaodai kwamba wanaipigania demokrasia ukweli ni kwamba hata wao hawataridhia kuona kundi lolote lile likijitokeza hadharani kwa utaratibu wa maandamano kupinga sera mbalimbali na matendo ya utawala wao, na hili limethibitishwa baada ya wanaojiita wapigania demokrasia na haki za binadamu ikiwemo haki ya maandamano kujitokeza hadharani mitandaoni kupinga maandamano kwasabab tu hayaendani na kile wanachokitaka kitokee.

Mwingine anaweza kusema hajaunga mkono maandamano kwasababu zake labda hazina mashiko, lakini kumbuka hata wengine wanapopinga maandamano yenu pia huwa wanaona sababu zenu ni za kijinga sana.
 
.
Unajuaje kuwa waandamanaji hawana silaha? Kwa kuwakodolea macho tu ? Waweza kuwa na pistol mifukoni au mawe au visu na mapanga kwenye makoti.Huwezi sema ohh waandamanaji hawana silaha umewasachi? Mambo ya ulinzi achia wenye fani zao.Mpigania demokrasia Aseme waandamanaji hawana silaha kawakagua saa ngapi?
 
Shida katika ipo katika kutumia siasa za kishamba katika mambo ya kitaalamu, yale maandamano ya kuifedhehesha nchi kana kwamba wote hatuna uelewa wa mambo ya kisheria. Embassy imehusikaje katika suala linaloandamaniwa, mnataka wakawalipie deni? Lakini cha ajabu kabisa ni intelijensia ambayo hutumika kuzuia maandamano yaliyotolewa taarifa kwa jeshi la polisi imeshindwa kabisa kudhibiti maandamano haya kabla hayajaanza?

Anyway, bajeti ya watendaji wa kata kwenda ikulu ingeweza kupunguza deni, kabla ndege nyigine haijadakwa huko nje. Ni ushauri tu.
 
Unajuaje kuwa waandamanaji hawana silaha? Kwa kuwakodolea macho tu ? Waweza kuwa na pistol mifukoni au mawe au visu na mapanga kwenye makoti.Huwezi sema ohh waandamanaji hawana silaha umewasachi? Mambo ya ulinzi achia wenye fani zao.Mpigania demokrasia Aseme waandamanaji hawana silaha kawakagua saa ngapi?
Ndio maana maandamano ya chadema walidundwa sana kwa sababu hawakutaka kusalimisha visu,na pistol zao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom