Afrika: Rais aliyekoswa koswa kupinduliwa, kuuliwa mara nyingi ni yupi?

Unaweza kutukumbusha ni yalikuwaje? Na yote hayo yaliwekwa wazi au baadhi tu?

Sababu ni zipi? Maana kujaribiwa kupinduliwa mara "nane" kusema kweli si mchezo (kama ni kweli).
Ukichunguza utagundua chanzo cha mapinduzi yalisababishwa na matatizo ya ndani na nje ya nchi.

Sababu kuu ya ndani ni maisha kuwa magumu kutokana na sera za ujamaa na kujitegemea.

Sababu Kuu ya nje ni kuifanya Tanzania kuwa katika siasa za kisoshalisti na kupigania uhuru wa nchi nyingi za Afrika na Caribbean wakati wa kulikuwa na msuguano wa pande mbili duniani.
 
wa mama ni mpuuzi sana hiyo video umeisikia kwa mchungaji mmoja hivi akitaja baadhi ya nchi za eabsahivi unajifanya kutabiri ni haramu kwa muislamu..leo ndo nmejua wewe ni juha namba moja....!! get a life bitch!!
Makubwa! Madogo yana wenyewe.

Hivi nikae haswa nasikiliza video za wachungaji? Duh! Hii ya mwaka.

Utabiri ni haramu na sitojaribu hata siku moja. Yangu mwenyewe siyafahamu ntaanza kutabiri? Hivi kuna utabiri wowote kwenye huu uzi wangu? Hebu Nioneshe huo utabiri uko wapi?
 
Ukichunguza utagundua chanzo cha mapinduzi yalisababishwa na matatizo ya ndani na nje ya nchi.

Sababu kuu ya ndani ni maisha kuwa magumu kutokana na sera za ujamaa na kujitegemea.

Sababu Kuu ya nje ni kuifanya Tanzania kuwa katika siasa za kisoshalisti na kupigania uhuru wa nchi nyingi za Afrika na Caribbean wakati wa kulikuwa na msuguano wa pande mbili duniani.
Binafsi nafahamu tukio la wanajeshi waliokwishawahi kupindua lakini jitihada za baadhi ya wanajeshi na wanasiasa na majeshi ya Waingereza yalifanikiwa kuurudisha utawala wa Mzee Nyerere.

Hilo lilikuwa hata kabla ya siasa za Ujamaa. Maarufu "tarehe ishirini".
 
Mwinyi,huyu ni kutokana na kuongozwa na mkewe kwenye mambo ya kitaifa!
Baada ya kustafu,alilambwa kibao kimoja mujarabu baada ya kwenda kuhubiri kondomu msikitini!

Ooh kumbe hayo yalikuwa majaribio ya mapinduzi na kuuliwa?

Hilo la kuogozwa na mkewe ni nani alitaka kumpidua, mkewe?

Hilo la kuzabwa kibao, vipi atapinduliwa akiwa siyo mtawala tena? Hilo nadhani alikuwa anarudishwa kwenye mstari, sikumsikia tena akiongelea kondom baada ya tukio hilo. Lilisaidia.
 
Kama Sikosei atakuwa Raisi Mstaafu wa Ghana Gerry Rawlings au Milton Obote wa Uganda.
 
Kama Sikosei atakuwa Raisi Mstaafu wa Ghana Gerry Rawlings au Milton Obote wa Uganda.
Milton Obote nafahamu alipinduliwa na Iddi Amin akahamia Tanzania akiwa mzima.

Rawlings sina matukio yake.
 
Makubwa! Madogo yana wenyewe.

Hivi nikae haswa nasikiliza video za wachungaji? Duh! Hii ya mwaka.

Utabiri ni haramu na sitojaribu hata siku moja. Yangu mwenyewe siyafahamu ntaanza kutabiri? Hivi kuna utabiri wowote kwenye huu uzi wangu? Hebu Nioneshe huo utabiri uko wapi?
shida sio utabiri kwenye uzi shida ni wewe kijifanya kujua wakati unatoa habari kwingine na kujifanya zako....acha upuuzi bibi!!
 
Back
Top Bottom