Afrika: Rais aliyekoswa koswa kupinduliwa, kuuliwa mara nyingi ni yupi?

Kuna mtu juu hapo kasema Nyerere alikoswakoswa mara 8, hao uliowataja walimkosa mara ngapi na lilikuwa tukio la ngapi kati ya manane?

Una ushahidi wowote kuwa walikuwa wendawazimu? Au unatumia lugha ya mitaani tu kama vile "kichaa wangu"?
Yeye Mwl. aliwahi kusema kuwa asingeweza kupinduliwa na kwamaba ni wendawazimu tu wanaoweza kujaribu kumuua au kufanya mapinduzi. Hiyo lugha ya mtaani iko mbali na mimi.
 
Yeye Mwl. aliwahi kusema kuwa asingeweza kupinduliwa na kwamaba ni wendawazimu tu wanaoweza kujaribu kumuua au kufanya mapinduzi. Hiyo lugha ya mtaani iko mbali na mimi.
Aah kumbe unamnukuu yeye Marehemu Mzee Nyerere? Vipi wewe unadhani walikuwa wendawazimu kweli?
 
Makubwa! Madogo yana wenyewe.

Hivi nikae haswa nasikiliza video za wachungaji? Duh! Hii ya mwaka.

Utabiri ni haramu na sitojaribu hata siku moja. Yangu mwenyewe siyafahamu ntaanza kutabiri? Hivi kuna utabiri wowote kwenye huu uzi wangu? Hebu Nioneshe huo utabiri uko wapi?
Mama wengine wamelewa wanachangia uzi wakiwa wamelewa usiwajibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom