McFerson JF-Expert Member Jan 8, 2015 2,120 2,167 Jan 1, 2017 #3 Acha hisia we mleta mada, Kama vipi weka ushahidi wa unachokisema
Marlex Jr El JF-Expert Member Nov 6, 2015 1,819 2,413 Jan 1, 2017 #4 "Ni dhambi kubwa kumchagua mtu mwenye fikra za kimasikini kuwa kiongozi"
Mkushi Da Gama JF-Expert Member Jun 23, 2015 3,695 4,984 Jan 1, 2017 #5 Unazungumzia nn milazo au micharazo