YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,994
Waafrika tuna tabia ya kujidharau.Lakini Afrika ndio ilizalisha kiongozi maarufu mno duniani anayrfahamika dunia nzima.Kiongozi huyo anaitwa MUSA au ukipenda mwite nabii Musa.Huyu alizaliwa Afrika .Na kwa sheria ya uraia alipozaliwa ndio raia wa hapo.Musa ALIKUWA mwafrika.
Afrika pia ndio bara ambalo lilipokea na kumhifadhi mkimbizi maarufu kuliko wote duniani.Mkimbizi huyo si mwingine bali ni mwanzilishi wa dini ya kikristo ambaye ni YESU.Huyo alipokimbizwa na Herode mtawala wa uyahudi akitafutwa kuuawa alikimbilia Afrika ambako alihifadhiwa hadi mambo yalipotulia kwao.
Afrika tuna vitu vya kujivunia tatizo hatuna waafrika wanaoandika historia ya Afrika zaidi ya historia zetu kuandikwa na wazungu ambao hupenda kutuandika kwa mlengo wa kutuponda tu kama vile Afrika hatuna cha kuringia.