mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Ana furaha na amaniHAHA NJIMBI INAKENUA HADI JINO LA MWISHO
sure,pia na afya njema,unakuta mtoto kaa huyo mlo wake ni uliokamilika wa asili,so nguvu anakuwa nazo za asili,sio kama wa dasilama ambao wanakula mlo kamili wa kutengenezwa viwandaniAna furaha na amani