Afrika Kusini yatoa warranty ya kukamatwa kwa Benjamin Netanyahu kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa Wapalestina wa Gaza

Africa Kusini Imetoa waranti ya Kukamatwa Kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kutokana na uhalifu wa kivita huko Gaza.

Aidha SA imewatimua Mabalozi wa Israel Kwa kile ilichoita apartheid Dhidi ya Wapalestina.

Ikumbukwe Africa Kusini Huwa haitanii maana Putin aliufyata kusafiri huko Kwa kuwa Kuna warranty ya Kukamatwa kwake iliyotolewa na Mahakama ya Haki za binadamu ya The Hague.

View: https://twitter.com/africaupdates/status/1726793525805924590?t=8J0fjsf9gsGPyiMuaRWGFA&s=19

My Take
Naunga mkono na nitoe wito Kwa Nchi zingine za Afrika na Dunia Kuiga mfano huu mzuri wa Afrika Kusini maana kuacha bila kuadhibiwa itaonekana kumbe kuua watu sio issue tena na kinachoitwa Haki za binadamu ni geresha.

unaunga mkono wewe masikini wa gongolamboto utaleta madhara gani kwa israel? nchi yako yenyewe ilipewa msaada kusomesha kilimo vijana 250, wawili ndio hao wamepotea, haina hata uwezo. afrika kusini ni masikini tu kwa israel na ulaya, na wanawasha moto kwasababu asilimia kubwa sana ya wasouz ni evangelicals ambao wataathirika sana wakitaka kwenda israel december hii na pasaka itabidi wakakate visa nairobi au angola. karibu pale hakuna ubalozi. Kama Misri ambaye ni baba wa palestina hajatoa matamshi mabaya wala kufukuza balozi,jordan, turkey, south africa ambayo unaambiwa bado inahitaji msaada italeta madhara gani? without forgetting that south africa kuna namba kumbwa tu ya wayahudi ambao ni raia. kuna wayahudi ambao ni raia nearly 52,000 hadi 80,000 na zamani walikuwa 120,000 sema wameondoka. hivi kuwa na raia elfu hamsini ambao ni wayahudi unaweza kuwafanyia kitu kibaya wasikudhuru? watakufanyia ushushushu hadi useme sasa basi.
 
Pinga uzahuni jali Haki za binadamu
 
Wakati wa kujifunza lugha au kutafasiri lugha haupo ndiyo maana kila mtu anajiandikia kwa sababu amefasiri kasehemu kadoogo!.

Sasa huyu kijana wangu ChoiceVariable amekimbia mbio kuandika kitu ambacho kinamfurahisha na kumpa yeye habari aipendayo. TUITION!.
 
Kumkamata Waziri Mkuu wa Israeli siyo jambo dogo.

Hivi mnawajua Mossad?

Aisee!
MOSAD hii hii ambayo hadi leo miezi miwili haijaweza kuwapata mateka? MOSAD hii hii ambayo ilishindwa kujua mipango ya uvamizi wa HAMAS???
ISRAEL ni TAIFA la kawaida sana kijeshi. Israel bila Marekani ni sawa na Burundi.
 
Mossad is overrated 🤣🤣
 
Africa Kusini Imetoa waranti ya Kukamatwa Kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kutokana na uhalifu wa kivita huko Gaza.

Aidha SA imewatimua Mabalozi wa Israel Kwa kile ilichoita apartheid Dhidi ya Wapalestina.

Ikumbukwe Africa Kusini Huwa haitanii maana Putin aliufyata kusafiri huko Kwa kuwa Kuna warranty ya Kukamatwa kwake iliyotolewa na Mahakama ya Haki za binadamu ya The Hague.

View: https://twitter.com/africaupdates/status/1726793525805924590?t=8J0fjsf9gsGPyiMuaRWGFA&s=19

My Take
Naunga mkono na nitoe wito Kwa Nchi zingine za Afrika na Dunia Kuiga mfano huu mzuri wa Afrika Kusini maana kuacha bila kuadhibiwa itaonekana kumbe kuua watu sio issue tena na kinachoitwa Haki za binadamu ni geresha.

Hamas vipi wenyewe wanaruhusiwa kukuvamia kwenye nyumba yako halafu ukae kimya. Wasauth wamelewa sifa kuachiwa waongoze nchi wao mablack wanatapatapa tu
 
Africa Kusini Imetoa waranti ya Kukamatwa Kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kutokana na uhalifu wa kivita huko Gaza.

Aidha SA imewatimua Mabalozi wa Israel Kwa kile ilichoita apartheid Dhidi ya Wapalestina.

Ikumbukwe Africa Kusini Huwa haitanii maana Putin aliufyata kusafiri huko Kwa kuwa Kuna warranty ya Kukamatwa kwake iliyotolewa na Mahakama ya Haki za binadamu ya The Hague.

View: https://twitter.com/africaupdates/status/1726793525805924590?t=8J0fjsf9gsGPyiMuaRWGFA&s=19

My Take
Naunga mkono na nitoe wito Kwa Nchi zingine za Afrika na Dunia Kuiga mfano huu mzuri wa Afrika Kusini maana kuacha bila kuadhibiwa itaonekana kumbe kuua watu sio issue tena na kinachoitwa Haki za binadamu ni geresha.

Niliongea haya siku za mwanzo... Akamatwe kabisa yeye na genge lake la wauaji
 
kilichoandikwa ni tofaut na hiyo screen shoot.

mtoa mada anasema SA imetoa hati ya kukamatwa ya PM wa israel.. hv hata anajua sheria za kimataifa zinafanyaje kazi... kwani huyo PM wa israel alitenda kosa ndani ya SA hadi mahakama ya SA itoe hati? pili hiyo screenshoot inasema Israel imeondoa mabaloz wake sababu SA imetoa tamko ikitaka PM wa israel ashtakie/akamatwe ( na mahakama za kimataifa) sio kuwa imetoa hati yenyewe... hv unafiki Nchi "A" inaweza kujiamulia kutoa hati ya kukamata raia wa Nchi "B" kwa kosa alilotenda kwnenye Nchi "C"... au unafikiri jaji wako au hakimu mkaz wa kipunguzi TZ anaweza kumtolea hati raia hata wa kenya alietenda kosa rwanda?... lazima kuwe na connection mamlaka ya nchi husika iombe ikiwa muhaifu huyo kaingia TZ

hata PM wa israel akienda SA hawez kukamatwa sababu hajatenda kosa nda ya SA.. wanachoweza kufanya ni kumzuia assingine SA sio kumkamata.. putin alitolea hati na mahamaka ya kimataifa mtoa hoja jifunze kuelewa mambo kaba ya kupost..
Hiki ni nini?

View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1727229051897516449?t=f26axuJCNIgenKv-aMydYQ&s=19
 
rudi shule, memkwa bado ipo kwa watu kama wewe usione aibu nenda upate elimu dunia, maana elimu ahera haijakusaidia.
Elimu dunia kwa waislamu ni kusomea mambo ya ulozi kama majini, mitishamba n.k na siyo elimu dunia hii ya kwenda darasa la 1 mpk 7.
Nilifuatilia nikajua hilo hata mm nilijua elimu ya shuel msingi, sekondari hadi chuo kumbe hakuna.
 
Hawa wavaa pempas wanaopelekewa moto na masela wa gaza wanaotumia mawe na magobore wakati wao wana kila silaha ya kisasa au mossad gani unawaongelea.
Umeandika kwa kujifariji sana.
Tangu lini wavaa kobazi wakawa na silaha za kuwashinda Israel?
Kasome 6 days war halafu uje na wanamgambo wa Hamas wanaotengeneza mabomu ya mafuta ya taa kwenye misikiti.
Wangekuwa wanaume hao Hamas wangetangaza vita kwa Israel
 
Ndiyo. Na hilo tukio ndilo nimelifikiria nikaandika hivi
Hiyo South Africa wananchi wake wanaoua wageni na kuvamia maduka kwasababu wanachukua nafasi za kazi kwa wazawa. Watakuwa na akili timamu kweli?
Nafikiri alizungumza ili ajulikane yaani dunia imuone. UN wameshindwa, yeye ataweza kama nani?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom