Afrika Kusini yalia na ongezeko la Ukimwi

Wasouth wanapendasana anasa hasa clubing na michezo ya beach! Ni wanywaji waziri sana wa pombe na wavivu kufanya kazi!

Weekend madem wengi wanatoka botswana na swazland kuja kufanya starehe S.A . Wanafunzi wa south wako huru sana.
Mkuu niliwahi kwenda mafunzoni PeterMarziburg huko Kwazuru Natal acha kabisa ila Dada zao kama ni mpenzi wa akina Dada waliofunga nyuma huko umefika halafu wazuri sasa kama mtu hutembei na kinga unategemea nini!na Afrika kusini kila baada ya dakika 3 kunatukio ama la mtu kubakwa au kuuwawa.
 
Tupatie clip if you wish,ili tupate kitu mkuu.
Mkuu, nimejaribu kuileta hapa haikubali.. Kama ww unaweza, nipe WASAP # inbox, utaipata afu utuwekee hapa. Kama ungependa ku-maintain ur anonymity, unaeza nipa # isiyo yako.. ht mie nta-fwd na # ya mwingine
 
Jaribu hata kuniPM mkuu
 
Back
Top Bottom