Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,921
ndo wapiKwa mnyamani
ndo wapiKwa mnyamani
ndo wapi
link tafadhaliWasijali,dawa ya kumaliza ukimwi ipo tayari,bado tuu kuanza kutumika kwa binadamau.majaribio yamefanywa kwa panya (mice) aliewekewa damu ya binadamu yenye virusi vya ukimwi na hiyo dawa yao imeweza kuiteketeza kabisa kirusi mpaka kwenye latency reservoirs ambako hizi dawa zetu huwa hazifiki.
So ni muda tuu majaribio yataanza kwa binadamu,na yakizaa matunda then ngoma itabaki historia.
Sasa na makampuni makubwa yanayotengenezs ARV yatafanyaje? Kama dawa ikiwepo?Wasijali,dawa ya kumaliza ukimwi ipo tayari,bado tuu kuanza kutumika kwa binadamau.majaribio yamefanywa kwa panya (mice) aliewekewa damu ya binadamu yenye virusi vya ukimwi na hiyo dawa yao imeweza kuiteketeza kabisa kirusi mpaka kwenye latency reservoirs ambako hizi dawa zetu huwa hazifiki.
So ni muda tuu majaribio yataanza kwa binadamu,na yakizaa matunda then ngoma itabaki historia.
Hata mimi doubt yangu ilikuwa hiyo mkuu,nadhani dawa imeshapatikana mpaka sasa,sema interest za makampuni ya kutengeneza ARV ndo zinafanya mpaka isiwe aired out kuwa cure ya HIV imeshapatikanaSasa na makampuni makubwa yanayotengenezs ARV yatafanyaje? Kama dawa ikiwepo?
Watch "Researchers eliminated HIV from the DNA of infected mice Its the first step toward a cure for humans" on YouTubelink tafadhali
Tanganyika inaongozaBasi msumbiji ndio inaongoza
Halafu wanapenda sana ngonoWale wajukuu wa Madiba walivyojazia halafu na vi nguo vyao vifupi fupi suala la kujizuia kuwalamba ni kazi nzito sana.
Acha ukimwi uwauwe tu wanaroho mbaya sana hayo mazuluJumla ya watu wote wenye HIV ni milioni 7.2 nchini Afrika kusini
Utafiti umewafuatilia watu 730000 wenye umri kati ya mwaka 1 -19, wale wenye umri wa miaka 15 - 19 wanaopata huduma ya afya (ushauri nasaha) ni mara 10 zaidi ya mwaka 2010. Hayo yameandikwa katika Gazeti la LANCET HIV JOURNAL.
9/10 ya wanaotafuta huduma (ushauri nasaha) ya afya ni akina dada.
Ongezeko la ugonjwa huo ndani ya Afrika kusini ni mkubwa sana. Ni hatari kwa nchi ambayo inaongoza kiuchumi Afrika kushindwa kabisa kuwa na mkakati wa kupunguza kuzuia kwa maambukizi wa ugonjwa huo.
hata mimi napendaHalafu wanapenda sana ngono
NigeriaAfrika Kusini haiongozi kwa uchumi afrika
Kuna tofauti kati ya nchi inayoongoza kwa uchumi mkubwa na nchi inayoongoza kwa uchumi kukusanya patoNadhani Nigeria inaongoza
Afrika kumejaa viongozi wapenda sifa. Mtu siyo Daktari lakini na yeye anajifanya daktari na kutoa ushauri. Mwingine siyo mwalimu kwavile yeye ni mkuu wa mkoa anaenda shuleni kuchapa wanafunzi. Kwanini asisomee ualimu akaenda kufundisha na akaachana na ukuu wa mkoa? Kila jambo linasheria na taasisi zake. Mambo ya elimu shuleni waache walimu, usalama wa raia na mali zao waachiwe polisi, mambo ya afya waachiwe madaktari n.k hapo tutasonga mbele lakini hii kila kitu siasa mbaya sana. Ndiyo maana utakuta nchi tangu zipate uhuru zinahangaika na mambo madogo sana ya uhaba wa madawati, matundu ya choo, maji na umeme.Aisee nakumbuka hii kashafaa, umesahahu alijiteta kuw auki ejakulate njee pia upati ngoma.
Tupatie clip if you wish,ili tupate kitu mkuu.Aysee.. Kuna clip nimeona, Kaburu anaelezea jinsi walivokuwa wanaambukiza virusi vya AiDS kwa blacks makusudi kupitia chanjo kny vituo vya afya. Ilikuwa mkakati wa kivita. Hiyo ilifanywa sana S/Africa na kiasi kwa nchi zingine za Africa. Cjaweza ku-upload hyo clip hapa