Afrika kusini wazindua treni iendayo kasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afrika kusini wazindua treni iendayo kasi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Aug 2, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Leo imezindiliwa treni iendayo kasi,ambayo kwa leo ni safari ya pili,maana walisazindua safari ya kwanza,treni ya leo inafanya safari kati ya johanesburg na pretoria,treni hii ina uwezo wa kubeba watu 900 wooote wakiwa wamekaa,,,,,,,,
  MY TAKE:hongeren sana wasouth,sisi bado tunatafuta wawekezaji tuuuuuu
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  umeme wa kuwasha taa ni utata.. materni yetu yote yanakufa kwa kukosa viongozi na mameneja wazuri na madirector.. sisi tumeakalia wiz tu.. kwa nini miundo mbinu yetu inakufa na wakati hatupandi bure tunalipa?
   
Loading...