Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,560
Chai hii!
Hata mimi nimeshangaaKwamba bandari ya Darbun haitoshi hadi ipitie bongo? Na inapitia Bongo ikitokea wapi?
Get exposed dude !Kuwa na bandari nyingi siyo hoja bwashee watu wanaangalia ubora!
Hao wa Africa kusini mbona wanyo bandari yao? kwanza kusafirisha kontena la mzigo kwa gari kutoka Dar kwenda africa kusini ni gharama sana kuliko kusafirisha na meli kwenda kwao, tuseme tu kuwa ni wafanya biashara wa africa kusini wana mizigo ya kwenda Zambia na malawi ndio wanaipitishia hapa maana ni karibu na nafuu kufika huko zambia na malawi.Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.
Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa
Source ITV habari
Jifunze kutofautisha “South Africa “ na “Southern Africa “. Ndio maana huachi kushabikia ccm.Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.
Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa
Source ITV habari
Kamanda mbwakachoka msalimie kidume Robert Amsterdam!Hivi wewe South Afrika unaijua wewe mbewiga? Wapitishe magari na bidhaa bongo? Mavi yako.
Mbwiga umeambiwa Afrika kusini siyo kusini mwa Afrika!Jifunze kutofautisha “South Africa “ na “Southern Africa “. Ndio maana huachi kushabikia ccm.
Haya ni matokeo ya ujinga wa kuweka watu wako kila mahali ili wakupongeze na kukusifia kwa mafanikio yako kumbe wanaishia kukudhalilisha na kukufanya mjinga kama wao. Ili waonekane wanafanya kazi, wateuliwa wanatumia vyombo vya habari kuutangazia ulimwengu eti meli itoke Ulaya, Amerika au Amerika ya Kusini na mizigo ya Afrika ya Kusini ipite Bandari ya Cape Town, Durban, Beira (imeunganishwa kwa Reli) ije iteremshwe Dar isafirishwe kwa barabara siku nyingi mpaka Cape Town. Mzigo wa Afrika ya Kusini kwenye meli yoyote toka nchi yoyote utafika haraka zaidi na salama ukikwepa Bandari yoyote ya Tz na kwenda moja kwa moja mpaka kwenye Bandari yoyote ya Afrika ya Kusini. Hata hapa kwetu ni wajinga wa CCM tu ndo wataunga mkono ujinga huo!Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.
Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa
Chanzo: ITV habari
Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.
Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa
Chanzo: ITV habari
Kuwa na vidole nyingi (ku type mitandaoni) au tuseme ulimi (hata kama ni mmoja tu) siyo hoja pia, watu wanaangalia akili iliyotumika kusema chochote anachotaka kusema bin-Adam (au binadamu ukipenda)...Kuwa na bandari nyingi siyo hoja bwashee watu wanaangalia ubora!
Mizigo kukaa bandarini siku tatu ndio unaita ufanisi?
DSM-Tunduma, Nakonde, Chirundu, Beit bridge, Limpopo! Mfanyabiashara gani anabeba hizo gharama zote.DSM to Tunduma boarder - Tunduma to Zambia, Zambia to Gaborone, Gaborone to South Africa (= KM 5,070) nonstop = total 71 hours
Msema kweli mpenzi wa Mungu
😀😀😀😀Jifunze kutofautisha “South Africa “ na “Southern Africa “. Ndio maana huachi kushabikia ccm.
Hii habari ni ngeni mno mno na ngumu kumeza! zambia wenyewe ambao kuna reli hadi kwao sasa hivi mizigo yao inashuka Beira. Sembuse SA siamini. Hawakawii kusema ipo ktk ilani ya chamaMsemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa
Wewe ni kilaza mkubwa sana,unaujua umbali wa kutoka Dar mpaka south,unazijua bandar za south Africa, unazijua route kubwa zote za Meli lazima zikaishishie south,kwa taarifa yako hawatumii bandari moja kama tunavyotumia ya DarNchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.