Afrika Kusini na ubaguzi wa rangi, picha hii yazua taharuki

Ni issue gani kubwa zaidi ya hii? tuambie, hapa unazungumzia elimu, mfumo, matabaka, ubaguzi, future of a country, future prospect of blacks kwenye nchi yao. Mustakabali wa nchi.

mkuu hii ni probable private school. Hawakulazimishwa kabisa kupeleka watoto wao pale. Wao wenyewe baada yakuona mazingira ya kizungu ndio walibabaika nayo. Halafu wanalalamika wanabaguliwa.
 
Whatever, public or private school, haki za watoto lazima zizingatiwe, no excuses, kama fees wote wamelipa.

Hii shule yote labda inabidi ifungwe, Uongozi wote ufukuzwe, pamoja na walimu walioshiriki. Wabaguzi wakubwa wa zamani kama UK, USA, France sasa hivi hawafanyi haya mambo.
 
Tuache kulialia. Waafrika ni watu wabuguzi wakubwa tena sana. Lakini mtenda akitendewa ..........
Wazungu ni lazima watubugue kwasababu sie wenyewe tunajishusha thamani utegemee kipi chengine? Watu wanatengeneza mipangilio yao ya kimaisha nasie tunaishia kudandia tu. Hivi kwanini huko Africa Kusini hawakutengenza shule zenye hadhi za kiafrika? kwani hakuna waafirka waliokua na uwezo? Wakuna waliokua na elimu? Lkini mnasubiri wenzenu wafanye yao halafu mukadandie mutegemee kupata lipi jengine.

Opera Snapshot_2019-01-11_214437_www.jamiiforums.com.png

Mungeanza kujadili haya hapa pichani, Nahisi yanakuhusunu Zaidi
 
Tuache kulialia. Waafrika ni watu wabuguzi wakubwa tena sana. Lakini mtenda akitendewa ..........
Wazungu ni lazima watubugue kwasababu sie wenyewe tunajishusha thamani utegemee kipi chengine? Watu wanatengeneza mipangilio yao ya kimaisha nasie tunaishia kudandia tu. Hivi kwanini huko Africa Kusini hawakutengenza shule zenye hadhi za kiafrika? kwani hakuna waafirka waliokua na uwezo? Wakuna waliokua na elimu? Lkini mnasubiri wenzenu wafanye yao halafu mukadandie mutegemee kupata lipi jengine.

View attachment 992078

Mungeanza kujadili haya hapa pichani, Nahisi yanakuhusunu Zaidi

Sasa hiyo picha inahusiana vipi na mada?

Unaleta siasa zenu, mkifikiri wote ni wafia vyama, wapo pia independent thinkers.

.Najua huwezi kuamini? Lakini wapo.

Jaribu kwanza kujikita kwenye mada husika, otherwise hakuna haja ya kujadiliana.

Watafute wenzako, level yako, kama akili yako muanze kutukanana usiku na mchana. Goodluck.
 
Matusi ya nini mkuu? Na siasa zetu zipi? Ndani ya nchi yako kuna ubaguzi mkubwa sana zaidi ya huo unaozungumzia wa hiyo picha lakini mnaufumbia macho mnatafuta ya watu yasio kuhusuni.
 
Wahindi ndiyo wanaongoza kujikomba kwa Wazungu, Nenda IST uone walivyojazana. Waafrika wanafuata. Wote hawa wanatoka matabaka ya juu kabisa ktk jamii ya Dar ilhali Wanafunzi Wazungu wanatoka Average Joe backgrounds huko makwao. Lini Wahindi na Waafrika wataanzisha shule zao hadi itokee Wazungu wawapapatikie wawajaze wanao hizo shule?
Na ukiangalia shule za wahindi hapa bongo utakuta waliojazana ni waarabu na waswahili. Ila sometimes sisi wenyewe tumeshajiona weak mbele ya ngozi nyeupe haijalishi mwarabu muhindi mzungu mchina nk as long as akiwa ni race tofauti na mweusi basi tukikutana nao tunakuwa dhaifu. Tumeshajijengea hiyo mentality ishakuwa tatizo sasa
 
Whatever, public or private school, haki za watoto lazima zizingatiwe, no excuses, kama fees wote wamelipa.

Hii shule yote labda inabidi ifungwe, Uongozi wote ufukuzwe, pamoja na walimu walioshiriki. Wabaguzi wakubwa wa zamani kama UK, USA, France sasa hivi hawafanyi haya mambo.
Ndio ni private school.Mwalim aliyewatenda hao watoto weusi kasimamishwa kazi

Ukisema shule ifungwe huo ni uonevu.Kuna wanafunzi wengi wataathirika.mwalimu aliyeshiriki ni mmoja tu,mwalimu wa darasa.Sasa utaadhibuje walimu wote?

Halafu mwalimu kajitetea.Kasema hao watoto weusi walipokuja shule siku hio ya kwanza walikua waogawaoga na hawakua free,Hivo akawaona awatenge mpaka watapozoea mazingira!

Sisi watu weusi ni wepes Sana wa kulaumu mzungu.sikatai kuna wazungu wengi ni wabaguzi ila haya weusi tunabaguana.Unakumbuka watu weusi wasauz walivowaua wageni wa kutoka nchi nyingine za kiafrika?Leo hii wakibaguliwa kidogo tu wanapayuka

Hivi umewahi kujiuliza kwanini wasauz weusi wasimiliki shule za private baada ya miaka 25 ya Uhuru? Leo hii wako bize kuvamia shule za kizungu.kwanini?
 
Matusi ya nini mkuu? Na siasa zetu zipi? Ndani ya nchi yako kuna ubaguzi mkubwa sana zaidi ya huo unaozungumzia wa hiyo picha lakini mnaufumbia macho mnatafuta ya watu yasio kuhusuni.

Sema, anzisha uzi kuhusu hiyo issue, mbona kuna nyuzi nyingi kila siku zinazungumzia hayo mambo.

Kwanini unachangia kama hii mada hainihusu au kukuhusu wewe? Kwanini usingepita kimya kimya?

Labda kwako uwezo wako, upeo wako ni kuangalia mambo ya TZ tu, wengine hatupo hivyo, we are citizen of the world.

JF inatumia na watu wengi, wengine wapo SA, UAE, UK, USA, Scandinavian countries dunia nzima. Wewe unataka tujadili mambo ya TZ tu. Fanya hivyo wewe mwenyewe, wengine tuache tujadili tunachokitaka.

Hii issue inaweza kuwa na direct implication kwa watanzania wanaoishi South Africa na familia zao.

In any case it was very wrong, and rightly condemned.
 
Ndio ni private school.Mwalim aliyewatenda hao watoto weusi kasimamishwa kazi

Ukisema shule ifungwe huo ni uonevu.Kuna wanafunzi wengi wataathirika.mwalimu aliyeshiriki ni mmoja tu,mwalimu wa darasa.Sasa utaadhibuje walimu wote?

Halafu mwalimu kajitetea.Kasema hao watoto weusi walipokuja shule siku hio ya kwanza walikua waogawaoga na hawakua free,Hivo akawaona awatenge mpaka watapozoea mazingira!

Sisi watu weusi ni wepes Sana wa kulaumu mzungu.sikatai kuna wazungu wengi ni wabaguzi ila haya weusi tunabaguana.Unakumbuka watu weusi wasauz walivowaua wageni wa kutoka nchi nyingine za kiafrika?Leo hii wakibaguliwa kidogo tu wanapayuka

Hivi umewahi kujiuliza kwanini wasauz weusi wasimiliki shule za private baada ya miaka 25 ya Uhuru? Leo hii wako bize kuvamia shule za kizungu.kwanini?

Kuhusu shule kufungwa labda ni kweli sio sahihi, it is a little bit over the top.

Lakini mwalimu kufukuzwa na kama uongozi ulijua kufukuzwa ni sahihi. Hakuna nafasi ya ujinga kama huu 2019.

Kwamba watu weusi tunabaguana sio issue hapa. Kuna vigezo, utaratibu, sheria, kanuni, masharti unapewa kabla ya kufungua shule, kuwa mwalimu, kuwa kiongozi kwenye shule. Kama huwezi kuyafuata, huwezi kuyafuata, inabidi ukae pembeni.

Eti walikuwa waogawaoga, silly defensive argument. Kama walikuwa hawajiamini kuwatenga ndio kutawasaidia? Kwanza watoto huwa hawajui ubaguzi wakizaliwa, wanafundishwa ubaguzi na wazazi, jamii, system.

Huyu mwalimu lazima ajitetee, ulitegemea nini kutoka kwake? Lazima aje na ngojera, explanation that is somehow beliavable, plausible, palatable. Hata wewe ungetafuta sababu za kujitetea.
 
Kuhusu shule kufungwa labda ni kweli sio sahihi, it is a little bit over the top.

Lakini mwalimu kufukuzwa na kama uongozi ulijua kufukuzwa ni sahihi. Hakuna nafasi ya ujinga kama huu 2019.

Kwamba watu weusi tunabaguana sio issue hapa. Kuna vigezo, utaratibu, sheria, kanuni, masharti unapewa kabla ya kufungua shule, kuwa mwalimu, kuwa kiongozi kwenye shule. Kama huwezi kuyafuata, huwezi kuyafuata, inabidi ukae pembeni.

Eti walikuwa waogawaoga, silly defence. Kama walikuwa hawajiamini kuwatenga ndio kutawasaidia? Kwanza watoto huwa hawajui ubaguzi wakizaliwa, wanafundishwa ubaguzi na wazazi, jamii, system.

Huyu mwalimu lazima ajitetee, ulitegemea nini kutoka kwake? Lazima aje na ngojera, explanation that is somehow beliavable, plausible, palatable. Hata wewe ungetafuta sababu za kujitetea.
Na hio picha ilipostiwa na huyo mwalimu wa darasa kwenye WhatsApp group,hapo akasambaza hio picha akielezea jinsi siku ya kufungua muhula mpya ilivyoendelea! Nahisi yeye binafsi hakuona kosa lolote kuwatenganisha watoto

Kumfukuza kazi sio rahisi kwa nchi Kama sauz.Wafanyakazi wakisauz wana haki nyingi Sana.Huwezi tu kumfukuza MTU kazi kisa kaweka watoto weusi Meza tofauti.

Baada ya kusambazwa hio picha ktk vyombo vya habari,watu weusi wakaandamana kwenda huko shuleni, wakidai shule ifungwe! Wazungu nao wakawahi hapo shule,nao wakaja na bastola viunoni wakidai wamekuja kulinda watoto wao!

Matukio ya aina hio ni ya kawaida Sana sauz.Kuna private companies ambazo watu weusi wanatumia separate tea rooms,au wanatumia locker rooms tofauti.Bado kuna baadhi ya bar MTU mweusi haruhusiwi kuingia.Kuna baadhi ya maeneo Huwezi nunua nyumba.

Ila MTU mweusi nae mshenzi.Kaua wageni wengi wakiafrika.Bado najiuliza kwanini watu weusi wasianzishe tu private schools zao?Kwanini wakitendwa na mzungu wanalalamika Sana huku nao wanabagua waafrika wenzao?
 
Sababu ni ukosefu wa elimu, wanaona kama wenzao wanachukua nafasi zao, kiuhalisi hawana uwezo, vigezo, ku- fill certain positions in their economy.

Hii inatokana na historia yao, ukoloni, ubaguzi, ghettoization kwa miaka mingi. Miaka 25 baada ya apatheid viongozi wao bado hawajawasadia watu wao kujali elimu.

Inaonekana unaishi uko Sauzi, haya matukio hayatakiwi yawe ya kawaida ndio maana Mandela alipigana, Jim Crow, Martin Luther King aliipinga.

Kuhusu weusi kuanzisha shule zao, watazianzisha huko baadaye, ila kwa sasa sio issue. Ukifungua shule lazima ukizi vigezo, ufuate sheria za nchi husika. Kama huwezi, huwezi, shule ifungwe.

Mbona makampuni mengi ya USA, Europe wamewekeza China, Uarabuni lakini wanafuata sheria za China, Waarabu wakiwa kule.

Pia China, Japan, Ulaya, Arabs wemewekeza sana USA pia wanafuata sheria zao wakiwa USA. Kwanini SA kila mtu asifuate sheria za serikali? Utetezi unaoletwa hapa ni sababu ni shule zao. Catholics church wana shule nyingi sana Tanzania, USA, UK, lakini wanafuata sheria za nchi husika wala hawabagui, sasa kwanini iwe tofauti kwa hawa?
 
Back
Top Bottom