Afrika Kusini na ubaguzi wa rangi, picha hii yazua taharuki

Watu weupe hawa ni wabinafsi sana si wazungu tu hata miafrika ni mibaguzi tu.tunabaguana sisi kwa sisi.

Kuna mmoja niliwahi kumsikia akisema "waafrika ni weusi na roho zao nyeusi" kama kuna kaukweli flani hivi, binafsi naona wenye imani na roho nzuri ni wachache munoo.
Sawa unayosema ukiona watu weusi wana baguana inategemea na. Daraja huyu anajiona kwa hadhi yake hawezi kuwa karibu na huyu hata watu weupe wenyewe kwa wenyewe wanafanyiana hvyo, lakin hawa watu weupe wanavyotufanyia sisi waafrika weee acha tu, yaan wanatuona kama uchafu, usiwaone juu juu wanavyocheka kinafki mm nimeishi nao nawajua A _ Z

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli nimejisikia vibaya sana hasa kubaguliwa kwa watoto wadogo namna hii, huu ubaguzi hauwezi kwisha so long tumezaliwa rangi tofauti, ni kwa vile tu labda bado wadogo hawataweza kukumbuka hili tukio lakini kama mimi ni mzazi WA mmoja wa hao watoto ningemuhamisha siku hiyohiyo maana hapo watanyanyasika tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni nani amekudanganya Ubaguzi ni kitu kibaya? Asiye Mbaguzi ni Binadamu dhaifu na atabaguliwa.
 
Kwa taarifa yako Watoto weusi hawataki kufundishwa na Mwalimu mweusi shuleni imebidi Serikali ingilie kati madarasa ya Walimu wa Kizungu yanazidiwa, sasa hapo nani Mbaguzi Muzungu au negro? Kosa la Muzibgu ni lipi kama negro wenyewe hamjithamini?
Kwa nini Wazungu ndiyo wasilie kubaguliwa au kwa nini Wahindi na Waarabu Tanzania hawalalamiki kubaguliwa na sisi ila sisi ndo tunabaguliwa ingawaje Wahindi hawafiki laki 2 TZ nzima?

Negroes tuna low self esteem ni lazima tukubali hilo!
Muhindi si tu anamdharau mtu mweusi bali pia anadharau kila kitu cha mweusi! Hata Mavi yake hataki yagusane na mavi ya mtu mweusi! Nenda kwenye kampuni yoyote ya muhindi kama hujakuta wamejitengea choo Chao binafsi! Mhindi hanyi choo kimoja na mwafrika! Never,nlabda huyo mwafrika awe wa daraja la juu sana!
 
Mbona waafrika, hata hapa tanzania mnafanyiana haya haya! Afadhali hao wamewatenga, mbona nyinyi mnawapiga risasi na kuwapoteza coco beach? Si afadhali ubaguzi huo wa kuwatenga pembeni kuliko wa kumbagua Ben Saanane na kumpoteza/kumuua
 
Kwa taarifa yako Watoto weusi hawataki kufundishwa na Mwalimu mweusi shuleni imebidi Serikali ingilie kati madarasa ya Walimu wa Kizungu yanazidiwa, sasa hapo nani Mbaguzi Muzungu au negro? Kosa la Muzibgu ni lipi kama negro wenyewe hamjithamini?
Kwa nini Wazungu ndiyo wasilie kubaguliwa au kwa nini Wahindi na Waarabu Tanzania hawalalamiki kubaguliwa na sisi ila sisi ndo tunabaguliwa ingawaje Wahindi hawafiki laki 2 TZ nzima?

Negroes tuna low self esteem ni lazima tukubali hilo!
Ww hao waind na waarab walalamike kubagulia kvp wakati wanatuona tunavyowashobokea, tunawatetemekea, tunawathamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Nifah should see what these stupid whites are capable of

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo

Mkuu kwani mimi nimekuwa mtetezi wa wazungu? Suala la R. Kelly na uharibifu wa watoto sio kigezo cha kusema mimi ni mtetezi wa wazungu.

Halafu kwani mimi ni mzungu? Mimi ni mweusi kama wewe, ila sisapoti ujinga kisa umefanywa na mweusi mwenzetu.

Back to the topic ningekuwa mimi ni mzazi wa mtoto mmoja kati ya hao weusi wala nisingehitaji maelezo, ningeshamhamisha shule kesho yake tu baada ya hiyo picha kupigwa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa nini unaweka Wahindi na Waafrika kundi moja? Muhindi anabagua mtu mweusi lkn mtu mweusi hana uwezo wa kubagua Muhindi hapa Bongo, hakuna Muhindi masikini hapa Bongo nikimaanisha absolute poverty sasa kwa nini? Ulishaiona Muhindi analilia kjja kuishi na Mwafrika? Hakuna lkn Weusi wengi wanataka kwenda kuishi Uhindini kwa nini? Na hapa siongelei India bali bongo yetu.
Babu umebugi hao waindi ndio wanalilia kuja kuish bongo kama haujui kuna maslah wanapata lakin mbongo halili kwenda india kuna nn india wote masikini wenzetu, tupo nao huku arabun wote wafanyakazi wa ndan waarab

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini waafrika tunawachukia wazungu wakitubagua ilihali sisi wenyewe hatuishi kubaguana kila uchwao!!!
 
Muhindi si tu anamdharau mtu mweusi bali pia anadharau kila kitu cha mweusi! Hata Mavi yake hataki yagusane na mavi ya mtu mweusi! Nenda kwenye kampuni yoyote ya muhindi kama hujakuta wamejitengea choo Chao binafsi! Mhindi hanyi choo kimoja na mwafrika! Never,nlabda huyo mwafrika awe wa daraja la juu sana!

Lkn kwa nini awe na huo uwezo wakati
yuko kwetu? Wahindi hawafikii hata laki 2 TZ lkn iweje watubague? Kwa nini sisi tusiwabague?
 
Kwa nini unaweka Wahindi na Waafrika kundi moja? Muhindi anabagua mtu mweusi lkn mtu mweusi hana uwezo wa kubagua Muhindi hapa Bongo, hakuna Muhindi masikini hapa Bongo nikimaanisha absolute poverty sasa kwa nini? Ulishaiona Muhindi analilia kjja kuishi na Mwafrika? Hakuna lkn Weusi wengi wanataka kwenda kuishi Uhindini kwa nini? Na hapa siongelei India bali bongo yetu.
Wapo kundi moja as far as social class or status if you will. Naturally, Wahindi na Waafrika wa matabaka ya juu wanataka the best education money can buy for their kids lkn unfortunately its Whitey all the way from the UK and the US who run the show when it comes to these type of elite schools.
 
Babu umebugi hao waindi ndio wanalilia kuja kuish bongo kama haujui kuna maslah wanapata lakin mbongo halili kwenda india kuna nn india wote masikini wenzetu, tupo nao huku arabun wote wafanyakazi wa ndan waarab

Sent using Jamii Forums mobile app

Naongelea Wahindi waliozaliwa hapa Bongo kama Dewji, Mo, Shivji & Co. Kwa nini hawalii kubaguliwa na sisi ila sisi ndo tunaojipendekeza kwao?
 
Alafu pande hizo north west..na free state huko ndo wapo makaburu original chapa ya ng'ombe
 
Back
Top Bottom