Afrika Kusini: Mwanafunzi mweupe arekodiwa akikojolea vifaa vya mwanafunzi mweusi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
1652771691749.png

Mwanafunzi mzungu nchini Afrika Kusini amesimamishwa masomo kwa uchunguzi zaidi baada ya kushtakiwa kwa kukojolea mali ya mwanafunzi mweusi katika Chuo Kikuu cha Stellenbosch, ambapo anaweza kufukuzwa chuo au kufunguliwa mashtaka ya jinai kulingana na matokeo ya uchunguzi.

Kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya ndani, mwanafunzi huyo mweusi alikuwa amelala na aliamka aliposikia kuwa kuna mtu chumbani mwake, na katika video hiyo anaonekana akimuuliza mwanafunzi huyo wa kizungu kwanini anakojolea vitu vyake.

Katika taarifa, msemaji wa Chuo Kikuu cha Stellenbosch Martin Viljoen alisema kuwa chuo kikuu "kinalaani vikali tukio hilo la uharibifu, la kuumiza na la kibaguzi" ambalo kwa mara nyingine tena limeangazia mapambano ya Afrika Kusini dhidi ubaguzi wa rangi nchini humo.

————————————-

A white student in South Africa has been suspended from university after he was accused of urinating on the property of a black student at Stellenbosch University, the institution confirmed to BBC News on Monday.

The university has said the incident will be investigated and further action including expulsion and criminal charges may be taken, depending on the outcome of the investigation.

Scores of students protested at Stellenbosch University on Monday demanding swift action against the first-year student .

The university – like many on social media who have seen the widely circulated video – has said the incident appears to have been racially motivated.

In a statement, Stellenbosch University spokesperson Martin Viljoen said that the university "strongly condemns the destructive, hurtful and racist incident”.

The victim is still in shock and trying to process what happened, the university has said.

According to local media reports, he was sleeping and awoke when he heard that someone was in his room.

In the video he is heard asking the white student why he is urinating on his belongings.

The incident has once again shone a spotlight on South Africa’s struggles with racism – decades after the end of apartheid.

Source: BBC
 
Ni mtoto tu Ila ameleta aibu sana.Apewe nasaha na kujengewa misingi ya kuheshimu wengine,vitu vyao na kuwa na utu.Ila asikojolee "kitabu" tu.Atachinjwa hadharani.
 
Kwanini tukio hilo wamelihukumu haraka sana kua ni ubaguzi? pengine huyo mwanafunzi mweupe alikua tu na bifu na mwanafunzi mwenzake,

Vipi kama mwanafunzi black angekojolea vifaa vya huyo mwanafunzi mweupe pia ingehukumiwa haraka hivyo kua ni tukio la kibaguzi?
 
Mwanafunzi mzungu nchini Afrika Kusini amesimamishwa masomo kwa uchunguzi zaidi baada ya kushtakiwa kwa kukojolea mali ya mwanafunzi mweusi katika Chuo Kikuu cha Stellenbosch, ambapo anaweza kufukuzwa chuo au kufunguliwa mashtaka ya jinai kulingana na matokeo ya uchunguzi.

Kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya ndani, mwanafunzi huyo mweusi alikuwa amelala na aliamka aliposikia kuwa kuna mtu chumbani mwake, na katika video hiyo anaonekana akimuuliza mwanafunzi huyo wa kizungu kwanini anakojolea vitu vyake.

Katika taarifa, msemaji wa Chuo Kikuu cha Stellenbosch Martin Viljoen alisema kuwa chuo kikuu "kinalaani vikali tukio hilo la uharibifu, la kuumiza na la kibaguzi" ambalo kwa mara nyingine tena limeangazia mapambano ya Afrika Kusini dhidi ubaguzi wa rangi nchini humo.

————————————-

A white student in South Africa has been suspended from university after he was accused of urinating on the property of a black student at Stellenbosch University, the institution confirmed to BBC News on Monday.

The university has said the incident will be investigated and further action including expulsion and criminal charges may be taken, depending on the outcome of the investigation.

Scores of students protested at Stellenbosch University on Monday demanding swift action against the first-year student .

The university – like many on social media who have seen the widely circulated video – has said the incident appears to have been racially motivated.

In a statement, Stellenbosch University spokesperson Martin Viljoen said that the university "strongly condemns the destructive, hurtful and racist incident”.

The victim is still in shock and trying to process what happened, the university has said.

According to local media reports, he was sleeping and awoke when he heard that someone was in his room.

In the video he is heard asking the white student why he is urinating on his belongings.

The incident has once again shone a spotlight on South Africa’s struggles with racism – decades after the end of apartheid.

Source: BBC
Hao wazungu wa SA kule kwao walikotoka bangi inaruhusiwa hadharani na kuna maduka rasmi yametengwa kwa ajili ya kuuza bangi yanaitwa "coffee shops". Ukiona duka limeandikwa kwa maneno hayo usifikiri ni mgahawa kwa ajili ya kahawa, ni bangi
 
Kwamba angefanya hivyo kwa mweupe mwenzake ingekuwa sawa ?

Au kabla ya yote akapimwe akili kwanza na kufundishwa usafi na ustaarabu au aende akaishi na wenzake huko Serengeti au mbuga yoyote ya wanyama iliyopo karibu kama ikishindikane apelekwe Zoo
 
Back
Top Bottom