Afrika Kusini: Mchungaji abatiza washirika kwa kutumia vilevi ambavyo wanavipenda! Waumini waruhusiwa kunywa Ibadani

kwinyo

JF-Expert Member
May 2, 2017
281
230
Mchungaji 1.jpg

Mchungaji mmoja huko Afrika Kusini amekuwa akikosolewa vikali baada ya kuanza kubatiza washirika kwa kutumia vilevi ambavyo wanavipenda kitendo ambacho ni kinyume na utaratibu.

Askofu Tsietsi Makiti, (52) ambaye pia ni Mwanzilishi wa kanisa hilo linalojulikana kama 'Gabola', amesema kuwa ameongozwa na maandiko katika Biblia ambapo Yesu alibadilisha maji kuwa divai.

"Watu wanao kunywa na kubatizwa na bia wana furaha na amani. Hii inamaanisha kuwa wanaishi katika kivuli cha Mungu, "alisema Makiti.

Kanisa hilo lenye jina 'Gabola' jina likimaanisha 'Kunywa' limesema linakubali kuwapokea waumini waliotoka makanisa mengine huku likiweka wazi kwamba idadi ya watu wameongezeka kufikia 500 ndani ya miezi miwili tangu kuanzishwa kwa kanisa hilo.

Waumini pia wanaruhusiwa kunywa wakati huduma za kanisa zikiendelea.

Aidha Askofu huyo ameweka wazi kwamba ana mipango ya kuanzisha matawi ya kanisa lake hilo katika miji mbali mbali

Chanzo: EATV
 
Tumelisikia ngoja tutaongea na PAPA abadilishe kipengele cha divai kwenye biblia.....tukiona kuna vitu vinatubana tunabadilisha,,,kama tulovyibadilisha vingine ktk biblia
 
Nimemtukana nani???? Me nimeongea ukweli wakristo wengi mmelaaniwa ndomana mkitembea mnajijambia jambia
sikushangai. ni kawaida wa wafuasi wa dini ya Shetani ndo maan hata mtume wenu alishushiwa qur'an na shetani akiwa anakunya. kawaida ya waabudu baali na wafuga majini na mashetani.
 
Dini haimpeleki mtu mbinguni...dini zote..
1.waislamu
2.hinduism
3.budha
4.Christianity etc...
Kinachompeleka mtu mbinguni ni kumwamini Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake,unabatizwa kwa maji mengi then unajazwa Roho mtakatifu na kisha unashika sheria za Mungu kwa uaminifu woote mpka kufa..(imean kuishi utakatifu duniani)ila dini ukiziendekeza utaikosa mbingu ndomaana kuna dini zinaruhusu ushoga n.k
So waliopo kwenye dini ya kikristo then wanaruhusu ushoga,kubatiza kwa pombe mimi hawanitishi...najua wapo katika dini ya kikristo lakini hawapo katika Ufalme wa Mungu wa Mbinguni..
Ndomaana Mungu hakuanzsha the so called religion..
Mungu alirejesha Ufalme wa Mungu (Mbinguni) dunian ndomaana Yesu alihubiri habari za Ufalme pekee na hakuwahi kuhubiri ukristu
 
Mchungaji mmoja huko Afrika Kusini amekuwa akikosolewa vikali baada ya kuanza kubatiza washirika kwa kutumia vilevi ambavyo wanavipenda kitendo ambacho ni kinyume na utaratibu.

Askofu Tsietsi Makiti, (52) ambaye pia ni Mwanzilishi wa kanisa hilo linalojulikana kama 'Gabola', amesema kuwa ameongozwa na maandiko katika Biblia ambapo Yesu alibadilisha maji kuwa divai.

"Watu wanao kunywa na kubatizwa na bia wana furaha na amani. Hii inamaanisha kuwa wanaishi katika kivuli cha Mungu, "alisema Makiti.

Kanisa hilo lenye jina 'Gabola' jina likimaanisha 'Kunywa' limesema linakubali kuwapokea waumini waliotoka makanisa mengine huku likiweka wazi kwamba idadi ya watu wameongezeka kufikia 500 ndani ya miezi miwili tangu kuanzishwa kwa kanisa hilo.

Waumini pia wanaruhusiwa kunywa wakati huduma za kanisa zikiendelea.

Aidha Askofu huyo ameweka wazi kwamba ana mipango ya kuanzisha matawi ya kanisa lake hilo katika miji mbali mbali

Chanzo: EATV
Ama kweli dini nyingine ni mtihani!
 
Back
Top Bottom