Afrika Kusini: Maji aliyetoa matamshi ya kibaguzi ajiuzulu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Jaji mweupe nchini Afrika Kusini amejiuzulu baada ya kutoa matamshi mwaka jana katika mitandao ya kijamii kuwa matukio ya ubakaji ni utamaduni wa watu weusi.

Jaji huyo wa mahama kuu Mabel Jansen alikuwa katika mapumziko akisubiri upelelezi wa mahakama kufanyika juu ya sakata hilo.

Matamshi hayo yalifichuliwa na rafiki yake ambaye hakutajwa jina.

Afrika Kusini ni miongoni mwa nchi zenye asilimia kubwa ya matukio ya ubakaji duniani.

Chanzo: BBC Swahili
 
Mkuu ahsante kwa taarifa ila fanya marekebisho title Maji badala Jaji
 
Back
Top Bottom