Afrika kuandika tena historia ya mrithi wa kiti kuangushwa na upinzani baada ya Rais aliyekuwa madarakani kufariki akiwa madarakani?

Tatizo ni hawa machadem tungepata chama chaa maana hawa maccm wallah ,yasingetoboa
Chadema ndio chama kilichoonesha kutokuyumbishwa na tawala zote tangu kuanzishwa kwake kama vyama vingine cuf,nccr mageuzi na sasa ni act ambayo nayo ni tawi la ccm sijui unataka chama gani
 
Kwani hao washika Mabunduki hawana akili za kuona mpaka wasubiri Raia? Kipi kina manufaa, kuingia ktk mgogoro na Raia au kuwaambia watu wasiozidi 21, hembu tokeni kwa amani acheni nchi salama?
 
68 Reactions
Reply
Back
Top Bottom