Afrika ina nchi nyingi zenye siasa za kipumbavu, uongozi wa kipumbavu, maamuzi ya kipumbavu. Tanzania inaweza kuwamo?

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,769
Kuna nchi nyingi Afrika ambazo ukitafakari kwa makini, hata kama hazikuhusu utakuta zinakera sasa. Nyingi zimefikia kuwa na siasa za kipumbavu, uongozi wa kipumbavu na maamuzi ya kipumbavu. TRump kuna wakati aliziita hit hole countries - nchi za shimo la kinyesi. Nina uhakika alijua asemalo, hata kama na yeye ana matatizo yake yanayofanana na nchi hizo.

Ni wazi kwamb nchi hizo zinaekea kusiko kuzuri, lakini wengi wa watu wao hawalioni hilo. Wengi wanaburuzwa tu na kusukumwa kama mikokoteni, huko wakishangilia kila ujinga unaofanyika. Wengi wakifanya hivyo kwa uoga, kujipendekeza au kwa kuwa ni mbubumbu tu wa siasa.

Suala ni kwamba, raia katika nchi hizi watavumilia kuwa katika siasa za kipumbavu, uongozi wa kipumbavu na maamuzi ya kipumbavu. kwa muda gani? La ajabu ni kwamba wengi wa wananchi katika nchi hizi wanakuwa wananchama wa vyama tawala, na unajiuliza, hivi chama chako kikifanya siasa za kipumbavu, uongozi wa kipumbavu na maamuzi ya kipumbavu basi unakuwa sio upumbavu tena? Ni mtu taahira tu ndio anaweza kudhani upumbavu wa chamba chake au viongozi wa chama chake sio upumbavu kwa sababu unafanywa na chama chake!
 
NILITEGEMEA MTU KAMA bASHIRU ANGEWEZA MPA USHAURI HUYU JIWE LAKINI NAONA HATA YEYE BASHIRU NI MPUMBAVU TU
 
Umedhihirisha Upumbavu wako kwa bandiko lisilo na mantiki yoyote kwa sababu umeshindwa kuelezea huo Upumbavu wa Viongozi na kwa namna ipi iliyo bora walipaswa kufanya. Vinginevyo kimbilia Milembe maaana Ugumu wa Maisha yako imekuwa kero.
 
Mfano mzuri ni wewe, usiyeeona upumbavu hata ukiwekwa mbele ya uso wako
 
Kuna nchi nyingi Afrika ambazo ukitafakari kwa makini, hata kama hazikuhusu utakuta zinakera sasa. Nyingi zimefikia kuwa na siasa za kipumbavu, uongozi wa kipumbavu na maamuzi ya kipumbavu. TRump kuna wakati aliziita hit hole countries - nchi za shimo la kinyesi. Nina uhakika alijua asemalo, hata kama na yeye ana matatizo yake yanayofanana na nchi hizo.

Ni wazi kwamb nchi hizo zinaekea kusiko kuzuri, lakini wengi wa watu wao hawalioni hilo. Wengi wanaburuzwa tu na kusukumwa kama mikokoteni, huko wakishangilia kila ujinga unaofanyika. Wengi wakifanya hivyo kwa uoga, kujipendekeza au kwa kuwa ni mbubumbu tu wa siasa.

Suala ni kwamba, raia katika nchi hizi watavumilia kuwa katika siasa za kipumbavu, uongozi wa kipumbavu na maamuzi ya kipumbavu. kwa muda gani? La ajabu ni kwamba wengi wa wananchi katika nchi hizi wanakuwa wananchama wa vyama tawala, na unajiuliza, hivi chama chako kikifanya siasa za kipumbavu, uongozi wa kipumbavu na maamuzi ya kipumbavu basi unakuwa sio upumbavu tena? Ni mtu taahira tu ndio anaweza kudhani upumbavu wa chamba chake au viongozi wa chama chake sio upumbavu kwa sababu unafanywa na chama chake!
Kwa sababu na wewe umeongelea mambo ya kipumbavu ynayofanywa na viongozi wa vyama tawala pasipo kutoa suruhisho la upumbavu huo wewe pia ni mpumbavu tu
 
Ni kujipima kama wewe si chanzo maana taifa huundwa na watu.
 
Kwa sababu na wewe umeongelea mambo ya kipumbavu ynayofanywa na viongozi wa vyama tawala pasipo kutoa suruhisho la upumbavu huo wewe pia ni mpumbavu tu
Ni miongoni mwa wanao ongeza idadi ya wapumbavu
 
Kuna nchi nyingi Afrika ambazo ukitafakari kwa makini, hata kama hazikuhusu utakuta zinakera sasa. Nyingi zimefikia kuwa na siasa za kipumbavu, uongozi wa kipumbavu na maamuzi ya kipumbavu. TRump kuna wakati aliziita hit hole countries - nchi za shimo la kinyesi. Nina uhakika alijua asemalo, hata kama na yeye ana matatizo yake yanayofanana na nchi hizo.

Ni wazi kwamb nchi hizo zinaekea kusiko kuzuri, lakini wengi wa watu wao hawalioni hilo. Wengi wanaburuzwa tu na kusukumwa kama mikokoteni, huko wakishangilia kila ujinga unaofanyika. Wengi wakifanya hivyo kwa uoga, kujipendekeza au kwa kuwa ni mbubumbu tu wa siasa.

Suala ni kwamba, raia katika nchi hizi watavumilia kuwa katika siasa za kipumbavu, uongozi wa kipumbavu na maamuzi ya kipumbavu. kwa muda gani? La ajabu ni kwamba wengi wa wananchi katika nchi hizi wanakuwa wananchama wa vyama tawala, na unajiuliza, hivi chama chako kikifanya siasa za kipumbavu, uongozi wa kipumbavu na maamuzi ya kipumbavu basi unakuwa sio upumbavu tena? Ni mtu taahira tu ndio anaweza kudhani upumbavu wa chamba chake au viongozi wa chama chake sio upumbavu kwa sababu unafanywa na chama chake!
Tanzania ndio mwenyekiti wa kudumu wa hizi nchi za kipumbavu!
 
Back
Top Bottom