Africa's Worst Dictators! (Tujikumbushe)

Kwa Uganda naweza kusema Milton Obote was the most terrible dictator, Idi Amini DADA CBE was far less brutal compared to his predecessor, he killed far less than Obote did.
Bongolander,
Kubali kwamba you stand to be corrected.
 
Bongolander,
Kubali kwamba you stand to be corrected.
As always, i stand to be corrected. Lakini vilevile unajua jinsi tulivyopiga propaganda ya kumsiliba Idi Amin, jamaa mpaka sasa anaonekana kama joka kuu, as if hakuwa binadamu. He was a dictator no question about that. Lakini correct me kwa statistics.
 
Guys hakuna aliyejibu dictator ni nani na ni nini characteristics za udictator

kama hakuna TBS-written standard za fulani kuwa ni dictator basi leo naweza kusema Nyerere alikuwa dictator kuliko hao wote, na nikatoa evidence!!

Ukienda uganda ukawaambia Idd Amin alikuwa dictattor unaweza ukatolewa macho, wanampenda hata leo hii!!

wanasema Obote ndiyo alikuwa dictator, Amin killed tens, Obote killed hundred, Museven killed thousands

kwangu mimi kutomuweka Nyerere kwenye hiyo list ni makosa

1. Nyerere alikuwa dictator akavunja vyama vingi na kuleta kimoja
2. Alisema fikra zake ndio sahihi zaidi (this is worst human right violation ever done in human history)
3. aliua wengi na habari zilifichwa

kwa kuanzia anza na kiko kwenye scribd nadhani

The Dark Side Of Nyerere's Legacy, By Ludovick. S. Mwijage

zidumu fikra za mwenyekiti zimeua tanzania hii, tumefichwa mengi sana
 
As always, i stand to be corrected. Lakini vilevile unajua jinsi tulivyopiga propaganda ya kumsiliba Idi Amin, jamaa mpaka sasa anaonekana kama joka kuu, as if hakuwa binadamu. He was a dictator no question about that. Lakini correct me kwa statistics.

Bongolander nakuunga mkono kwa hili. Kwa vile Tanzania ilimchukia Idi Amin na kumpendelea Obote basi nyimbo zote zilikuwa za kumsiliba Amin. Na nadhani kwa vile aliwaambia Waingereza wambebe yeye kama 'Conquerer of the British Empire' basi nao wakaendeleza propaganda hiyo.

Katika miaka ya mwisho wa themanini nilisoma article moja iliyozungumzia jinsi Obote alivyokuwa akiua silently mfano wa genocide, na actually walisema kwamba Obote aliua wengi kuliko Amin. Shida ya Amin alikuwa akipenda sifa sana.

Kwa wanaokumbuka mifupa na mafuvu ya 'Luweero triangle' yule alikuwa ni Obote na vitendo vyake.
 
As always, i stand to be corrected. Lakini vilevile unajua jinsi tulivyopiga propaganda ya kumsiliba Idi Amin, jamaa mpaka sasa anaonekana kama joka kuu, as if hakuwa binadamu. He was a dictator no question about that. Lakini correct me kwa statistics.

waambieni watoto hao, wameishameza kila kitu cha Nyerere, yaani kwa ni mtume!
 
As always, i stand to be corrected. Lakini vilevile unajua jinsi tulivyopiga propaganda ya kumsiliba Idi Amin, jamaa mpaka sasa anaonekana kama joka kuu, as if hakuwa binadamu. He was a dictator no question about that. Lakini correct me kwa statistics.
Bongolander,
Statistics sina. Mauaji yaliyofanyika Uganda chini ya Obote, katika awamu yake ya kwanza, nadhani kwenye kitabu cha Museveni anayaelezea vizuri, kwamba yalifanyika katika eneo la Buganda baada ya Obote kufarakana na Kabaka. Yalitokana na uvamizi wa jeshi kuondoa mamlaka ya Kabaka. Amin alianza kuua wanajeshi wenzake, especially air force, ambao alidhani si loyal. Hakuachia hapo. Akaanza kuua wanasiasa, viongozi wa kidini, raia, na hata ulaaniwe uwe na mke ambaye amempendeza macho yake utakuwa victim. Obote 2 (baada ya kurudi mamlakani kutoka Tanzania) aliua raia wengi katika eneo la Luwero triangle kutokana na kwamba wanajeshi wa Museveni walilitumia eneo hilo kufanya mashambulio ya hit and run. Ilikuwa kama vile jeshi la Marekani Vietnam in the 70's. Unaona asubuhi raia wanalima mashamba na usiku wanakushambulia. Obote's army met the same fate. The Museveni people would camouflage as farmers in the day time and attack the army at night. Jeshi likiingia pale linafyeka kijiji kizima. Kitabu cha David Martin, "Idi Amin" kitakuwa na estimate ya statistics ya mauaji aliyoyafanya Amin wakati wa utawala wake.
 
Back
Top Bottom