William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Heshima mbele sana wakuu, wananchi au taifa la wasiojua wanakotoka ni vigumu sana kujua wanakokwenda, ni vyema sana tukawawekea vijana na watoto wetu a brief kumbu kumbu ya wapi Africa imetokea kiuongozi.
- Viongozi walioifikisha Africa hapa ilipo ni nani na walifanya nini, ni muhimu sana kwa wanaotufuatia kuelewa, ili pia wao wenyewe with facts at hand, waweze kutoa na kujumlisha.
- God Bless Africa!
Respect.
Field Marshall Es!